- Thread starter
- #321
Lakini haina ya kutoa au kuwapa jina hili,Atabaki kuwa mchepuko tu mkuu mpaka utakapo amua kumtambulisha kwa mkeo, ndiyo atatambulika kama mke mdogo, hakuna justification
Sio wote huolewa, lakini kumbuka hata wewe mtoto wako siku moja anaweza kuwa bi mdogo wa mtu, au hata mdogo wako
Kwa hiyo kuwa makini na majina ambayo hawana staha, at the wote ni wanawake tu, unaweza kukuta bi mdogo ana staha zai di kuliko huo unaemwita hivyo,
Lakini kumbuka vile vile wanawake wanatuzidi Sadi vile cile, kwa hiyo lazima tubanane hivyo