Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hapo ulipoenda kwao na kuchinjiwa mbuzi ndio ulitambulishwa rasmi kama Mme. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 We mzee nimecheka sana
 
Simple and plain piga chini huyo mwanamke anaekusumbua, baki na Bi mkubwa anaekuheshimu kusanya watoto wako wote bakinao watambukishe wajulikane na wajuane IMEISHA . Umri ulionao sio wa kuhangaikia mapenzi tena kama watoto unao jali familia yako tu. Achana na washenzi
 
Samahani km ntakwaza watu lakini mi naupenda uislamu wangu uliohalalisha wake wanne. Kwa kweli toka dunia ianze wanaume hawajawahi kutosha huyo Dada Leo miaka 20 na zaidi anaishia kuitwa mchepuko wakati angekua muislam angemuoa.

Kingine mbona wakurya wana mitala nnao huku kanda maalum yaani mitala kama zote .

Huyo demu nae kimeo 20yrs unakubali kufichwa km Arv vile...!!! Au ndo tamaa ya pesa mweee!pole yake aseh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepishana miezi 8, mmoja alizaliwa kabla ya miezi 9 ya mimba?
 
Kweli kabisa Ba mjengo,nami nakupendea hapo tu,ila kuna kuzidiwa nguvu na matamanio ndio kasheshe linaanzaga
 
Dah...unatutesa Kama anavyokutesa bi mdogo, Sasa jamani tutaguess Nini hapo? Unataka tukushauri au unatuhadithia tu ili tuanze ku guess.....malizia bwana wahenga wenzio tunasubiri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tuguess???[emoji15][emoji15][emoji849]

Are u serious we mbaba?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni mwaka gani?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee umesema ukistaafu una Kama 250m? Naomba nikufariji pindi utakapostaafu umehangaika Sana na majukum ya hapa na pale unahitaji kutulia Sasa na kula mema ya nchi...mi sihitaji kuzaa ucjal
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaitwa " changamka kabla hujazubaa"

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo alitaka hiyo ml15 uitafute kwa kutumia chanzo kingine ilhali anajua fika una madeni yaliyo kukalia shingoni na Mshahara wako wote asilimia kubwa unaishia kwenye Makato ya madeni hayo !?? Mzee Nisamehe lakini naomba niseme kwamba huyo mwanamke uliingia choo Cha kike ana ushetani ndani yake Hana huruma hata kidogo na wewe
 
Wanaume tunateseka kwa starehe ya dakka inakutesa maisha yako yote,kisa mtego wa kum. A

Kwasasa sikamatiki tena,nimefanya kosa Mara moja basi,kwasasa nimeforce kutumia condom mpaka nimezoea,utamu uko pale pale
Eti utamu uko pale pale

Pipi ikiwa ndani ya ganda ukaimung'unya unakutaa na ladha gani?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Loooohhh masikini kumbe siku zote hizo alikuwa ameshaanza kuwajaza chuki taratibu bila wewe kujua

Duhhhhhhh [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…