Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Yaani na tukio Hilo bado ukaendelea kuwa na imani nae tu !? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Wanaume tunateseka kwa starehe ya dakka inakutesa maisha yako yote,kisa mtego wa kum. A

Kwasasa sikamatiki tena,nimefanya kosa Mara moja basi,kwasasa nimeforce kutumia condom mpaka nimezoea,utamu uko pale pale
Mimi Mwanamke akibeba mimba wakati hatukupanga abebe mimba halafu nikimuambia aitoe akigoma atajijua mwenyewe shauri yake

Mambo yakunifanya niishi duniani kwa tabu Kama vile nipo kuzimu sitaki kuyaona Wala kuyasikia
 
Hapa umeongea point...duniani tunaishi mara moja tu

120000 ndo umetumiwa? Hao watoto wako vipi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Watoto umewasomesha na wanakazi lakini wamewahi kukutumia laki 1 na ishirini tu .... Daaahhhh kweli uwanaume Ni mateso
 
hii story imefanana na baba mmoja namfahamu tofauti tu yeye aliishia kwenye viwanja

hajafanikiwa kujenga na wanawake wore walimove on wana maisha yao Ila yeye kabakia anarandaranda duniani
Aisee [emoji16]
 
Mimi Mwanamke akibeba mimba wakati hatukupanga abebe mimba halafu nikimuambia aitoe akigoma atajijua mwenyewe shauri yake

Mambo yakunifanya niishi duniani kwa tabu Kama vile nipo kuzimu sitaki kuyaona Wala kuyasikia
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni dini gani mkuu
 
Huu sasa ubinafsi na sio kujipenda
 
Dini yako inakuruhusu uoe wake wangapi tuanze hapo kwanza, tuangalie uhalali,
 
Usiseme nyumba ndogo ni wazuri kuliko mkeo, kwanza ni lazima mke mdogo ataonekana ni mzuri tu kwasababu muda wote anataka kuwa mzuri zaidi ya mke mkubwa, mapungufu ya mkeo yeye anayafanyia kazi kwahiyo usimsifie sana nyumba ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…