Story nzima ni ya mke mdogo, sitaki kuingiza mambo ya mke mkubwa hapa, sitamtendea haki, jana tatizo na mimi, na binafsi nampenda sana, Muda wa kuwa naye upo na hata our tunatoka,
Na yupo happy sana na mimi, kwa sababu matunzo yake anapata kama malkia, na watoto wake anaona wanapanda madaraja, wa kwanza keshaajilia na anakula 2.5 M, Binti mdogo tu, wapili naye 1,8 m, Ana shida gani na hiyo kazi yote nimefanya mimi, Ila kama nilivyosema hao wote wana miaka miwili na mitatu, lakini nimesharushiwa sh 120000 tu.
Lakini vipi mama yao huko, naona kila siku ni nguo
Mpya kabitini, kwa hiyo keshaanza kula matunda ya watoto wake,
Hiyo karma wala haiwezi kunipata, kwani kakosa nini,
Ndugu yangu hapa duniani tunaishi mala moja,
Fanya kile kitu upendacho lakini kwa kiasi