Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
cariha, taratibu bana!
 
Duh! Sio sawa
 
Hii shida sasa
 
Subscribe hii kitu
Tia kambi Hapa kwa mwezi mzima
 
We mama we ndio mchepuko wake nini? Povu lote la nini? Kama una machungu anzisha uzi wako. Kila mtu anaamua sehemu ya kuomba ushauri. Pamoja ma yote kuna somo anatoa pia .....
 
It seems unamatatizo makubwa kuliko huyu mleta mada. Otherwise usingemuattack namna hii. Pole na utafute wataalam wakusaidie kabla haijawa mbaya zaidi.
 
Da samahani wapendwa nilishaandikamwendeleza mkubwa tu bahati mbaya sijui umepotelea wapi,

Huyo mdada nimemsamehe bure, hata hivyo namwomba msamaha nilipomkera,

Au tulikuwa pamoja mpaka mwisho, pamoja na kwamba ameshatoa conclusion,
 
Mkuu hujamkera chochote huyo mwanamke. Kuwa na amani. Ana issue zake tu zinamsumbua.
 
Da samahani wapendwa nilishaandikamwendeleza mkubwa tu bahati mbaya sijui umepotelea wapi,

Huyo mdada nimemsamehe bure, hata hivyo namwomba msamaha nilipomkera,

Au tulikuwa pamoja mpaka mwisho, pamoja na kwamba ameshatoa conclusion,
Bora mkuu, msamehe bure!

Endelea na mada
 
We mama we ndio mchepuko wake nini? Povu lote la nini? Kama una machungu anzisha uzi wako. Kila mtu anaamua sehemu ya kuomba ushauri. Pamoja ma yote kuna somo anatoa pia .....
Usipangie na wewe acha unafiki na kiherehere Basi comment yangu Mbona ilikuwa ya kawaida kasema namuomea wivu, mtu anayenizaa nimuomee chuki ya nini, so nimemjibu accordiondly na wewe uache kiherehere utapakatwa sasa, unafiki tu.
 
Why are you being emotional? Why are you attacking mleta mada? Acha hizo basi.
I'm not emotional acha unafiki sijamu attack yeye kaanza kusema namwonea chuki na wakeze sasa emotions zangu ziko wap.kaa mbali sipendi unafiki aisee
 
Mimi bwana hata sitaki kukuelewa baba yangu. Nisamehe bure. Sijaitambua imani yako mpaka sasa inayoruhusu wewe kuhalalisha MCHEPUKO kuitwa mke. Kwangu atabaki kuitwa MCHEPUKO tu. Mke gani anafichwa kama gunia la bangi.

Halafu mzee wangu katika calculations zako naona kbs umeshapiga hesabu jinsi mambo yakishabumburuka utakavyoanza tengwa maana unatolea mifano hai ya wanafamilia jinsi wamtelekezwa na familia zao wamebaki mama na watoto zao. Binafsi siwezi kukutenga kabisa hata ungekua umetutengaje.

Nikusifie kabisa katika wababa na wewe ni baba. You seem to be a very nice man, friend and father. Nachosikitika akiguswa MCHEPUKO unafura tu.
Nionacho.. MCHEPUKO WAKO NI FUNGU LA KUKOSA. Na mambo yake anajilinganisha na mke halali. Hakuna mke mdogo hapo. Labda tupunguze makali kwa kusema mzazi mwenzako.

Sijui ndo tuseme uchawi, sijui mahaba ama nini sijui. Sijui ni akili zako timamu uliamua iwe hivi sielewi. Ila ulikosea toka mwanzo. Na angeenda kusema kwa mke mkubwa ndo ingekua ahueni kwako. Ilivyo siri hivi ndo inazidi kuharibu. Ndo unazidi mpa nafasi huyu MCHEPUKO azidi kupata nguvu.

Kwa upeo wangu, huyu mchepuko amekua na wewe since day one kwa tamaa. Ulienda na gari ukiwa na nduguye. Akajuona na akajua una uwezo kumzidi nduguye sijui shemeji. Akaja kwako akajolengesha. Alishapiga mahesabu hapa ndo pa kuponea. Wewe unaamini anakupenda[emoji23][emoji23] this is so FUNNY... nakuhakikishia mnaishi kimazoea tu. Fulia mkose hela ya kula ndo utaelewa. Yaan mchepuko una nguvu hivi?

Halaf unakua mkali ukiulizwa juu ya mke mkubwa unampa muda saa ngapi kwanini. Hapa unaulizwa ili watu wabalance story wajue namna ya kukusaidia. Haijawahi kuwepo balance kwenye mapenz asilani. Hapa usituongopee. Kulipa ada na matumizi si kila kitu. Hapo uko hai. Ukadondoka kama leo watoto ndo wanapeleka vurugu na mchepuko kwa mke juu ya mali. Nasema tutauaanaaa...

Kabla hujamalizaaa... chukua mke.. nenda nae vaccation mwambie una mambo wataka mweleza. Mwambie A to Z. Sisi wanawake tukipenda huwa tunakua waelewa sana tukiambia ukweli. Mweleze kila kitu ili uwe huru. Najisikia huruma sana juu yako hakika maana kuhandle mambo makubwa hivi hapana.

Nilichogundua pia mke wako ana mkono wa baraka sana ndo maana Mungu anamjalia anapata sana. Zaidi nasikitika watoto qa mchepuko kukwambia eti si uende kwako. Kwahiyo wanaelewa kila kitu. Kama wangekua wanakuheshim wasingekua na la kusema asilani juu yako. Mama yao pia anawajaza ujinga.

Naomba ukamweleze MKEO kabla hayajamfikia kupitia watu baki usije jutia.
Nakuombea Amani ya moyo sana mzee wangu. Pole sana. Kuna mambo hukutokea na usijue yametokea aje. Kama ametumia nguvu za giza na alijua una ndoa Mungu adeal naye sawasawa na mapenz yake kwa kuvuruga mji wa mwenzake.

ACHANA NA MCHEPUKO. GHARAMA INAZIDI KUPANDA.
 
Back
Top Bottom