Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Wajukuu ni bahati sio kila mtu anabahatika kuwa na wajukuu akiwa na umri huo!
Ila muda ni masaa ukisha chelewa huwezi rudisha nyuma ukiwa na miaka 50 na kuangaika na nyumba ndoko ni kujitafutia safari ya kaburi kwa speed ya SGR
Bora umejua wajukuu ni bahat
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kweli ulinyooshwa aiseee
 
Wanaokuja na I'd mpya hawajiamini kama una shida yako njoo na I'd iliyozoeleka
Muulize I'd mpya inapunguza Ukali na pressure ya maneno makali utakayo ambiwa humu !? ... Still maumivu ya maneno makali yako pale pale maana utaambiwa maneno ambayo haukuwa hata unataka kuyasikia mwisho wa siku utakwenda kupata stroke huko bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
30- October, ananipigia simu sipokei,
Mtoto baada ya graduation, anakuja nyumbani hapa, sasa muda mwingi yupo mwenyewe na nyumba ni kubwa halafu mtoto na umeme hakuna, ananiomba kwenda kwa mama yake, namjubalia kwa kukaa wiki moja tu arudi kwa kuwa dada yake naye atakuwa amerudi basi wote wasome tuition pamaja,
 
Kwani shida Ni ID mpya Basi .. shida Ni maneno ya kukatisha tamaa utakayo ambiwa humu ..yanaweza sababisha ukajikuta unakwenda kufanya maamuzi mabaya zaidi na ukajikuta unajisababishia matatizo makubwa zaidi ya uliyonayo ktk huo wakati
Mimi msomaji tu yananiuma sijui kwa kweli watu wana mioyo ya namna gani kuandika maneno ya kuumiza wengine hivyo, ila humu wachawi wamo pia.
 
Mimi msomaji tu yananiuma sijui kwa kweli watu wana mioyo ya namna gani kuandika maneno ya kuumiza wengine hivyo, ila humu wachawi wamo pia.
Ndio ukweli, humu kuna wachawi, malaya, malaika na watu wengine wameumizwa na mabwana zao kama hivyo, hivyo wakiona hizi hadithi za bwana Mwitore zinawakumbusha baba zao labda au mabwana zao walivyotoroshwa na nyumba ndogo, wanaume nao wengine wako na nyumba ndogo au tunafikiria kuwa nazo hivyo kila mtu anaguswa kivyake, tuvumiliane tu, ndio maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…