Handle
JF-Expert Member
- May 12, 2020
- 236
- 277
3- january hiyo hiyo tunakutana site kila mmoja akitokea kwake,hana mazungumzo na mimi hata nikimwambia tupige picha ya ukumbusho, hataki, alikuja na mtoto mmoja,
Najikunyata pembeni ujenzi unaendelea muda wa kuondoka jioni tumepanga wote kwenda kwake na mimi na kaka hukohuko
Naita bodaboda 2 , zinakuja kwa kufuatana wenyewe wakatanguliana ya kwanza, kwenda kituoni nakuta wameshapanda daradara wameondoka
Kumbuka mwendo wa safari ni masaa 3
[emoji19][emoji27]