kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Pole kaka kwa masumbuko kwa mwanamke asiyekuwa na utu wala fadhila.Anataka nyumba iuzwe tafuta mteja aje kuinunua kwa pesa ulizompa wewe ili mgawane yeye aondoke uchukue nyumba yako.Tafuta mteja wa bei rahisi umpe nusu ya total amount ambayo itakuwa half the real amount.OMBI WAKUU NA USHAURI
hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,
Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,
Ila bado haijaisha,
Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Kwa mfano tafuta mteja wa 45 million usrme inalipwa installment 4,kumbe unatoa wewe pesa zake 22.5 m kwa instalment mbili akuondokee.Achana na kumfuatilia anaenda wapi anarudi lini,acha kujua nyendo zake.
Wewe ni MTU mzuri na strong you can survive this.pia watoto usiwatupe hawajui wanachofany kwa sababu ya mama yao.Walipie ada kama unaweza,hilo ni jukumu lako.kama unaona huwezi wahamishie kayumba wajue mama yao hana msaada kwao.
LA mwisho kaka ukishanunua nyumba iache kwa muda usikae hapo imalizie kidogokidogo.
Muda mwingi kaa na shemeji mkubwa ila uwe unaweka vikao vya familia na watoto uwaambie mapungufu yao yote ya kukutumia 120,000/ kwa miaka yote.Mwambie shemeji mkubwa aongee na watoto wajue wewe ni baba yao na umehangaikia hapo walipo.Mwisho kwa utaratibu na upole ukiona nyumban pametulia mueleze shemeji mkubwa kuhusu hao watoto wengine maana,shemeji mdogo akipigwa na maisha atataka kurudi aje akuharibie maisha nyumbani.
Hadi ulipofikia una mapungufu ya kibinadamu,.Amini kaka Mwitore humu muna watu wanamajanga wakiyasema utaona wewe huna shida.
Kuwa makin na single mother's ambao ni opportunist's watakufuata inbox ambao ni wafuatao:
1 Shunie..
2 Espy.
3 Carha.
4 Witness J
5 Mandenyi.
Maya Angelou ni mja mzito msamehe ni hiyo hali yake