Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Yaani wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika, kwanza hapo huenda hata hao watoto wa bi mdogo siyo wake, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji848] namuwazia tu mwanaume mwenzangu!
Asichanganyikiwe kawaida SANA!
Wanaume kusaidiana!

Nitangulize tu POLE.

Everyday is Saturday................................😎
Hilo linaweza kuwa kweli kabisa, mtu ana watoto kabisa iweje ashindwe kusimamia kila mradi? Mkiwa na wake zenu nyumbani wenye sifa zote mnawapuuza sasa huyo mwenzenu ugonjwa unamnyemelea, mpe pole kwanza.
 
Waridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena, tulishafanya maamuzi
Una uhakika kuwa nyie mmeridhika? Ile tu kutaja tall dark guys tayari inaonyesha kuna matamanio fulani yanapekenyua; na ni suala la muda tu...

Halafu acheni nadharia. Njooni practical huku kwenye ndoa muone mambo yalivyo !
 
Ushauri mzuri kugawana..amwachie nyumba kisha agawe robo...robo 3 zibaki zake

Au amwambie mke achague kati ya hizo robo 3 za kiwanja au achukue nyumba..maana alisema ni ekari moja..kisha apige bei ...na akate mawasiliano naye
 
Mimi na wengi wetu tumeridhika. Nilichomaanisha ni kwamba tamaa ipo tu kila siku hata kama ukioa/kuolewa; ni wewe kuamua kuiendekeza au kuamua kuridhika.
Una uhakika kuwa nyie mmeridhika? Ile tu kutaja tall dark guys tayari inaonyesha kuna matamanio fulani yanapekenyua; na ni suala la muda tu...
Aaah ndiyo kuendekeza tamaa sasa; kila unayemuona unataka umfunue, sijui 700 unafanya nao nini.
Naye alizidi. Seveni handredi parefu sana labda kama hakuwa mtu wa kawaida
 
Mimi na wengi wetu tumeridhika. Nilichomaanisha ni kwamba tamaa ipo tu kila siku hata kama ukioa/kuolewa; ni wewe kuamua kuiendekeza au kuamua kuridhika. Aaah ndiyo kuendekeza tamaa sasa; kila unayemuona unataka umfunue, sijui 700 unafanya nao nini.
Sawa mama Mchungaji. Wewe na hao wachache wenzio labda ni vighairi (exeptions). Tunayoyaona huku kwenye ndoa yanatisha si kwa waume si kwa wake. Wote hovyo tu !!!
 
Aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo. Plus tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu; na sio kwa sababu ni wajanja, werevu au watakatifu sana kuliko wengine. Yes hali si shwari, lakini bado wapo watu wanaoheshimu agano lao la ndoa.
Sawa mama Mchungaji. Wewe na hao wachache wenzio labda ni vighairi (exeptions). Tunayoyaona huku kwenye ndoa yanatisha si kwa waume si kwa wake. Wote hovyo tu !!!
 
Hahaaa pole ndugu yangu, napaogopa polisi, usiombe kwenda kule,maana huyu mwanamke aliniitia polisi, ndio kwanza nimefika nyumbani saa nane, tu kila nisubili chakula sikioni kuja, nikienda jikoni naona ni maji tu tanachemka

Nadhani kudu iris mala nipo sebureni, naona vijana wa nguvu wanaingia sebureni na mke yupo yupo nyuma anawasmbia, huyo hapo, mala wananiambia ninyanyuke wao ni polisi, nawaambia tatizo nini, wanasema twende utajua huko huko,
Nilikuwa nimevaa bukta nikawaomba niingie chumbani nivae suruali, wanifuata mpaka chumbani,
Kusema kweli nikidhani jamaa ni majambazi , maana niwale wanasimamaga nyumba ya defender, tukaongozana mpaka kituoni, naomba niwanieleze kosa langu, wakagoma, mala vua mkanda, vua viatu, weka simu hapa
Haya ingia rumande huko,

Ilikuwa ni saa kumi na moja tayali, sikuona huu ni usiku au mchana, nilikesha usiku kucha mpaka asubuhi naona watu wanaketa chai, hapo hakuna ndugu yangu hata mmoja anafahamu kama nimewekwa rumande,
Sielwi ilikua ni saa ngapi nikampa Afande fulani sh 5000.
Akanipa simu yake nikampigia yule mwanamke aje anitoe maana kesho yake naingia ofisi is mapema sana,
Alinijibu neno moja tu, KAA HUKO HUKO,
Akakata simu,
Kesho yake kaja kunitoa saa tano!!!!

Uchawi kweli upo baba naomba tu nikwambie huyo mama bi mdogo kuna kitu alikufanyia
Huo upendo ni zaidi ya agape
Wenzako wanachepuka wapate amani ya roho wewe mchepuko unakupa stress zaidi ya mkeo na bado unaukumbatia
 
Tena wawavuruge sana
Ikiwezekana wapate na mipresha..pora kila kitu.

🤣🤣🤣🤣wenzako tumeambiwa tunafurahia matatizo ya wanaume tuna stress🤣🤣🤣
Mi mwanaume akiwa na mambo ya michepuko wacha avurugwe mpaka basi ye si mwanaume kaamua basi sawa
 
Hapa mnawa washambulia wanawake lakini hamna kitu kinaumiza kama mwanaume kuchepuka jamani.
Unakuta unajinyima unachopata watoto wale ila mwenzio anatapanya uko nje kama hana akili
Lakini mwisho wa picha anakuletea magonjwa unakufa unaacha kulea wanao.
Tatu michepuko inatumia ushirikina sana inaweza kukuharibia familia yote kama sio ukoo mzima.
Jamani wewe baba RUDI KWA MKEO
Utakachokipata ni kubadilishwa jina tu kuwa marehemu.
Na nyie wengine OMBENI MUNGU wanawake wengi hutumia ushirikina kuwavuta
 
Kwahiyo kumbe bimkubwa alijua Kama ana mwenzie !?? [emoji849] Aisee

Yani mzee kumbe kaja hapa kuomba ushauri anashindwa ku move on kwa mchepuko

Now nimeelewa kwanini watoto wa bi mkubwa pesa walio wahi kumtumia haijazidi 120,000 wakati mama yao now ana enjoy huko
Ukute kapata kiben 10 chake cha kumtuliza mawazo aisee safi huyo mama hajataka kelele wala stress za mke mdogo anakula zake maisha na wanae[emoji16][emoji16][emoji16]hapa nimepapenda kwakweli
 
Hapa mnawa washambulia wanawake lakini hamna kitu kinaumiza kama mwanaume kuchepuka jamani.
Unakuta unajinyima unachopata watoto wale ila mwenzio anatapanya uko nje kama hana akili
Lakini mwisho wa picha anakuletea magonjwa unakufa unaacha kulea wanao.
Tatu michepuko inatumia ushirikina sana inaweza kukuharibia familia yote kama sio ukoo mzima.
Jamani wewe baba RUDI KWA MKEO
Utakachokipata ni kubadilishwa jina tu kuwa marehemu.
Na nyie wengine OMBENI MUNGU wanawake wengi hutumia ushirikina kuwavuta

Wanakwambia mwanaume rijali lazima awe na mpango wa kando mwishoni huwa sio mzuri
 
Wanakwambia mwanaume rijali lazima awe na mpango wa kando mwishoni huwa sio mzuri
Mwisho sio mzuri.yaan kama kuna kipindi wanaume wanatakiwa kuomba sana Mungu ni hichi.wanawake wanatumia ushirikina sana kuwapata hasa walioko kwenye ndoa maana hali ya Maisha ni ngumu.
Wanawake walioolewa wanachangamoto Mungu awatie nguvu
 
Ahsante sana, Mwenyezi Mungu akubariki sana, ni ushauri mzuri, kwanza niliogopa sana, kumfukuza nikijua kuwa, atasema labda nimemtumia vya kutosha sasa nimemchoka narudi kwa mke,
Lakini baada ya kugundua anaendelea na mwanaume ambaye, nilishamtuhumu miaka 10 iliyopita pamoja na visa vyote hivi na kiburi, kumbe naye ana bwana yake pembeni, hapana uzalendo umenishinda, potelea mbali , kama ataniraumu basi ni mwendelezo wa akili zake ndogo kutokujua makosa, kwa kipindi chote hicho,

Lingine nililogundua kumbe hata hizo biashara ya mchele huko Morogoro walikuwa wapo pamoja,

Ila mbaya zaidi pamoja na malalamiko yangu kwa wazazi wake, lakini hawaonyeshi hata kushtuka,

Mfano halisi ni sasa hivi, mtoto wao yupo kwao lakini hata kunipigia simu, kuniulizia kulikoni hakuna! Mpaka bajiuliza hii ni familia ya aina gani,

Mpaka nawaeleza waziwazi kabisa mbona mtoto wenu anatembea na aliyewahi kuwa mkwenu ( huyo bwana alishawahi kuoa binamu ya mke mdogo) wakagombana baada ya kufumaniana,

Na jamaa akataka kumuua mgoni wake kisu,
Akatoroka kijiji kwa muda fulani.
Lakini mpaka nafikia hatua ya kuwaambia wazi wazi, kuwa mlikuwa mnanidanganya kumbe mnajua mtoto wenu ana wanaume wawili halafu mkiendelea kuniomba vimisaada, na kuwakatia simu ambapo leo ni wiki ya tatu hawanipigia tena!
Mie mwenyewe nipo kwenye situation kama hiyo kaka mkubwa. Hauko peke yako. Unachotakiwa usiyachukulie mapenzi serious kihivyo. Kwanza huyo mwanamke ana 42 years old, kwa mwanamke kwa hiyo miaka ni bibi kabisa. Umeshamkamua vya kutosha, ina fact hana jipya tena. Kama kumfuja ushamvuja. Kwa umri wake hana pa kwenda, trust me. Sana sana anakunyima k ambayo wewe ushaichezea for the past 20 years. Wewe focus kwa bi mkubwa. Natambua huenda bi mkubwa akawa hakuvutii kama anavyokuvutia huyo bi mdogo lakini kaka mkubwa haya maisha ni ya kupita tu. Hatupo hapa kukaa milele hivyo ukifikiria let say umebakiza mika 30 ya kuishi unaona ni ubatili na upuuzi tu kulilia penzi ambalo huwezi kuishi nalo forever. Wewe iambie tu nafisi yako kuwa huyo bi mdogo hakuwa fungu lako, umemla vya kutosha hivyo huenda sasa waachie wengine wamalizie. Nafasi yako imeisha huna budi kuangalia future yako.
 
Ila Mzee kwenye hii scenario umeplay sana victim... hujaeleza mambo kinaga ubaga. Hujasema ukweli wako kabisa ili tulishauri vyema.
Sasa ndo naelewa kwanini wanao wamekupa 120,000/= despite the fact kwamba umewasomesha ingawa kwa mimi ningeendelea kukuhudumia kama baba. Familia yako waliona unafuja hela kwa huyo mchepuko maana ndo hadhi yake hata sasa. Usaliti kwa familia ni somo lenye gharama sana. Tunakuomba kama ni kurudi kwa mkeo upime kwanza Afya maana uliishi na mgawaji hakika.

Kumbe mkeo alishajua kila kitu kama ambavyo tulikueleza huko nyuma ila wewe hukuweka wazi ukafanya kama hajui kitu kabisa na ukaplay kwamba ulikua msafi sana. Yaan kiujumla tulikueleza kwamba kuna vitu unaficha. Tuogope sana na utuheshimu wanawake. Wewe unaona leo wenzako tunaona wiki 2 zijazo. Yaani ukisema kitu tunaweza kujua hapohapo kama umedanganya ama umesema ukweli. Hii karama Mungu amejua kutujalia sana. Tunaweza tukuitikie "ndio" lakini mioyoni mwetu tunasema hili lijinga kweli.

Unapotaka ushauri ili upone nafsi yako lazima uwe mkweli na muwazi ili ushairi utakaopewa uwe halali na uende kuponya nafsi yako moja kwa moja. Usitake wewe kuonewa huruma ili kuhalalisha makando kando yako.

Kwa maana hiyo... uligombana na mkeo. Kumkomoa ukaenda kwa huyu malaya na limbukeni aka dogodogo... ukala maisha sana. Na inaonekana ulimuoa kimila. Ulipomuoa si ulipaswa rasmi kwenda kudai ama kutoa talaka serikalini kwaajili ya ndoa ya mkeo ya kanisani kabla ya huyo mchepuko?

Tujifunze... kutofautiana kidogo isiwe sababu ya kwenda kuchukua hawara.
Kwasisi wakristu ndoa ni moja tena Takatifu sana. Tuangalie namna nyingine ili tuepuke migogoro isiyo ta kilazima kama hii. Nachohofia endapo mulipotofautiana na mkeo uliongea maneno ya dhihaka na jeuri sana enzi hizo na chombo kipya juu tena kibichi. Na ndoa ukute iliingia mgogoro baada ya kuwa na huyu malaya baada ya mke kujua. Nilitaka nishangae mke vipi asijue lolote. Ningemwona zuzu.

Uzee ndo huwa fainali. Utaota moto uliookota nao kuni. Maradhi huwa mengi.
Nakushauri onana na washauri wa Afya wakusaidie maana hii ni depression inakuja. Pain changes people.

Next time uwe muwazi. Usiandike kitu kikubebe kuhurumiwa. Achana na huyo malaya. Samahani kwa maneno makali maana ndo hadhi yake.
 
Kwa sababu story ilikuwa mwanzo sana, na story ilikuwa inahusu bi mdogo, sikutaka sana kumzungumzia yeye, nimeona hata wengine wanasema muda mwingi nilikuwa natumia kwa bi mdogo, hapana nilikuwa nabalanci sana muda wangu ili kila upande ulizike, na kuwa kazi zangu zilikuwa ni za masaa tofauti tofauti, mala usiku mala mchana, mala weekend unaenda unapumzika katikati ya wiki (shift), mala safari, mala overtim e, hayo yote yalisaidia sana kuonekana pande zote na wakawa wamezoea hiyo mienendo yangu,

Kuhusu bi mkubwa kugundua alikuja gundua baadaye sana, kwanza baada ya bi mdomo kuniwekea chupi ya mtoto kwenye bag langu, wakati nimetoka safari,
Hapo pamoja na kujitetea ndio alipoamza kuweka Q mark,

Baadaye sana sasa ikawa wazi kabisa ,
Ila alinaambia yeye hataki mtoto kwake, kama ni nyuma niwajenge e huko huko
Nilijuaa tu lazima bimkubwa anajua ndo ukahalalisha mpk zamu!!na watoto ndo hapoo wamekupa laki na 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom