KwakweliWaridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena, tulishafanya maamuzi
Hilo linaweza kuwa kweli kabisa, mtu ana watoto kabisa iweje ashindwe kusimamia kila mradi? Mkiwa na wake zenu nyumbani wenye sifa zote mnawapuuza sasa huyo mwenzenu ugonjwa unamnyemelea, mpe pole kwanza.Yaani wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika, kwanza hapo huenda hata hao watoto wa bi mdogo siyo wake, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji848] namuwazia tu mwanaume mwenzangu!
Asichanganyikiwe kawaida SANA!
Wanaume kusaidiana!
Nitangulize tu POLE.
Everyday is Saturday................................😎
Mimi nikiwa na wawili sichepuki ng'o! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Ila Kuna ukweli..lakini pia wanaume mtosheke jamani..Mana hata mkiamua kuwa na wanawake wawili wawili bado tu kuchepuka kupo
Una uhakika kuwa nyie mmeridhika? Ile tu kutaja tall dark guys tayari inaonyesha kuna matamanio fulani yanapekenyua; na ni suala la muda tu...Waridhike tu kama sisi tulivyoamua kuridhika; daily tunakutana na tall dark guys ila ndiyo hivyo tena, tulishafanya maamuzi
Naye alizidi. Seveni handredi parefu sana labda kama hakuwa mtu wa kawaidaUbatili mtupu. Hao wake si alikuwa anagongewa tu. Mwisho wa siku ndiyo walimgeuza moyo wake akaifuata miungu mingine. Alilipa gharama yake lakini
Aaah ndiyo kuendekeza tamaa sasa; kila unayemuona unataka umfunue, sijui 700 unafanya nao nini.Una uhakika kuwa nyie mmeridhika? Ile tu kutaja tall dark guys tayari inaonyesha kuna matamanio fulani yanapekenyua; na ni suala la muda tu...
Naye alizidi. Seveni handredi parefu sana labda kama hakuwa mtu wa kawaida
Sawa mama Mchungaji. Wewe na hao wachache wenzio labda ni vighairi (exeptions). Tunayoyaona huku kwenye ndoa yanatisha si kwa waume si kwa wake. Wote hovyo tu !!!Mimi na wengi wetu tumeridhika. Nilichomaanisha ni kwamba tamaa ipo tu kila siku hata kama ukioa/kuolewa; ni wewe kuamua kuiendekeza au kuamua kuridhika. Aaah ndiyo kuendekeza tamaa sasa; kila unayemuona unataka umfunue, sijui 700 unafanya nao nini.
Naam mpwa, 70% to 80% hata mimi naamini namba 2...Mi naamini zaidi namba 2
Sawa mama Mchungaji. Wewe na hao wachache wenzio labda ni vighairi (exeptions). Tunayoyaona huku kwenye ndoa yanatisha si kwa waume si kwa wake. Wote hovyo tu !!!
Hahaaa pole ndugu yangu, napaogopa polisi, usiombe kwenda kule,maana huyu mwanamke aliniitia polisi, ndio kwanza nimefika nyumbani saa nane, tu kila nisubili chakula sikioni kuja, nikienda jikoni naona ni maji tu tanachemka
Nadhani kudu iris mala nipo sebureni, naona vijana wa nguvu wanaingia sebureni na mke yupo yupo nyuma anawasmbia, huyo hapo, mala wananiambia ninyanyuke wao ni polisi, nawaambia tatizo nini, wanasema twende utajua huko huko,
Nilikuwa nimevaa bukta nikawaomba niingie chumbani nivae suruali, wanifuata mpaka chumbani,
Kusema kweli nikidhani jamaa ni majambazi , maana niwale wanasimamaga nyumba ya defender, tukaongozana mpaka kituoni, naomba niwanieleze kosa langu, wakagoma, mala vua mkanda, vua viatu, weka simu hapa
Haya ingia rumande huko,
Ilikuwa ni saa kumi na moja tayali, sikuona huu ni usiku au mchana, nilikesha usiku kucha mpaka asubuhi naona watu wanaketa chai, hapo hakuna ndugu yangu hata mmoja anafahamu kama nimewekwa rumande,
Sielwi ilikua ni saa ngapi nikampa Afande fulani sh 5000.
Akanipa simu yake nikampigia yule mwanamke aje anitoe maana kesho yake naingia ofisi is mapema sana,
Alinijibu neno moja tu, KAA HUKO HUKO,
Akakata simu,
Kesho yake kaja kunitoa saa tano!!!!
Tena wawavuruge sana
Ikiwezekana wapate na mipresha..pora kila kitu.
Kwahiyo kumbe bimkubwa alijua Kama ana mwenzie !?? [emoji849] Aisee
Hapa mnawa washambulia wanawake lakini hamna kitu kinaumiza kama mwanaume kuchepuka jamani.
Unakuta unajinyima unachopata watoto wale ila mwenzio anatapanya uko nje kama hana akili
Lakini mwisho wa picha anakuletea magonjwa unakufa unaacha kulea wanao.
Tatu michepuko inatumia ushirikina sana inaweza kukuharibia familia yote kama sio ukoo mzima.
Jamani wewe baba RUDI KWA MKEO
Utakachokipata ni kubadilishwa jina tu kuwa marehemu.
Na nyie wengine OMBENI MUNGU wanawake wengi hutumia ushirikina kuwavuta
Mwisho sio mzuri.yaan kama kuna kipindi wanaume wanatakiwa kuomba sana Mungu ni hichi.wanawake wanatumia ushirikina sana kuwapata hasa walioko kwenye ndoa maana hali ya Maisha ni ngumu.Wanakwambia mwanaume rijali lazima awe na mpango wa kando mwishoni huwa sio mzuri
Mie mwenyewe nipo kwenye situation kama hiyo kaka mkubwa. Hauko peke yako. Unachotakiwa usiyachukulie mapenzi serious kihivyo. Kwanza huyo mwanamke ana 42 years old, kwa mwanamke kwa hiyo miaka ni bibi kabisa. Umeshamkamua vya kutosha, ina fact hana jipya tena. Kama kumfuja ushamvuja. Kwa umri wake hana pa kwenda, trust me. Sana sana anakunyima k ambayo wewe ushaichezea for the past 20 years. Wewe focus kwa bi mkubwa. Natambua huenda bi mkubwa akawa hakuvutii kama anavyokuvutia huyo bi mdogo lakini kaka mkubwa haya maisha ni ya kupita tu. Hatupo hapa kukaa milele hivyo ukifikiria let say umebakiza mika 30 ya kuishi unaona ni ubatili na upuuzi tu kulilia penzi ambalo huwezi kuishi nalo forever. Wewe iambie tu nafisi yako kuwa huyo bi mdogo hakuwa fungu lako, umemla vya kutosha hivyo huenda sasa waachie wengine wamalizie. Nafasi yako imeisha huna budi kuangalia future yako.Ahsante sana, Mwenyezi Mungu akubariki sana, ni ushauri mzuri, kwanza niliogopa sana, kumfukuza nikijua kuwa, atasema labda nimemtumia vya kutosha sasa nimemchoka narudi kwa mke,
Lakini baada ya kugundua anaendelea na mwanaume ambaye, nilishamtuhumu miaka 10 iliyopita pamoja na visa vyote hivi na kiburi, kumbe naye ana bwana yake pembeni, hapana uzalendo umenishinda, potelea mbali , kama ataniraumu basi ni mwendelezo wa akili zake ndogo kutokujua makosa, kwa kipindi chote hicho,
Lingine nililogundua kumbe hata hizo biashara ya mchele huko Morogoro walikuwa wapo pamoja,
Ila mbaya zaidi pamoja na malalamiko yangu kwa wazazi wake, lakini hawaonyeshi hata kushtuka,
Mfano halisi ni sasa hivi, mtoto wao yupo kwao lakini hata kunipigia simu, kuniulizia kulikoni hakuna! Mpaka bajiuliza hii ni familia ya aina gani,
Mpaka nawaeleza waziwazi kabisa mbona mtoto wenu anatembea na aliyewahi kuwa mkwenu ( huyo bwana alishawahi kuoa binamu ya mke mdogo) wakagombana baada ya kufumaniana,
Na jamaa akataka kumuua mgoni wake kisu,
Akatoroka kijiji kwa muda fulani.
Lakini mpaka nafikia hatua ya kuwaambia wazi wazi, kuwa mlikuwa mnanidanganya kumbe mnajua mtoto wenu ana wanaume wawili halafu mkiendelea kuniomba vimisaada, na kuwakatia simu ambapo leo ni wiki ya tatu hawanipigia tena!
Nilijuaa tu lazima bimkubwa anajua ndo ukahalalisha mpk zamu!!na watoto ndo hapoo wamekupa laki na 20Kwa sababu story ilikuwa mwanzo sana, na story ilikuwa inahusu bi mdogo, sikutaka sana kumzungumzia yeye, nimeona hata wengine wanasema muda mwingi nilikuwa natumia kwa bi mdogo, hapana nilikuwa nabalanci sana muda wangu ili kila upande ulizike, na kuwa kazi zangu zilikuwa ni za masaa tofauti tofauti, mala usiku mala mchana, mala weekend unaenda unapumzika katikati ya wiki (shift), mala safari, mala overtim e, hayo yote yalisaidia sana kuonekana pande zote na wakawa wamezoea hiyo mienendo yangu,
Kuhusu bi mkubwa kugundua alikuja gundua baadaye sana, kwanza baada ya bi mdomo kuniwekea chupi ya mtoto kwenye bag langu, wakati nimetoka safari,
Hapo pamoja na kujitetea ndio alipoamza kuweka Q mark,
Baadaye sana sasa ikawa wazi kabisa ,
Ila alinaambia yeye hataki mtoto kwake, kama ni nyuma niwajenge e huko huko