Hii comment fupi lakini imeshiba sanaKuna kitu anatuficha
Sawa unaweza kusema kazi inamsaidia kupanga namna ya kuhudhuria kwa mchepukoAfiche kwa sababu gani,huyu bwana uandishi wake hauna mtiririko mzuri sana kitu ambacho simshangai kwa kuwa hatungi kitabu. Inavyoonekana Bi mkubwa hambani sana,na pia kazi ya jamaa inamfanya anaweza kumpanga Bi mkubwa kuwa anatoka kikazi ila anakuwa na mishe zake. Hilo la kazi amezungumzia kwenye uzi huko juu
Sio kweli kuna mahali anasema watoto wake mpaka sasa wamemtumia 120000 tu lakini mkewe anasikia tu mara nguo mpya mara nini
Najiuliza tu, unaweza mpangisha mtu afu ukaogopa kumpa notes ya kutoka????Ahsante,
Tatizo nalo wapambe, maana ukishatangaza tu
Nauza wapambe hawa hapa, mala nyumba ina mgogoro mala nini, maana uuzaji wa nyumba ni mgumu, bora uuze gari
Sasa adi apo hujajua km we ni mwehuNilibadili nakaweka majina yangu,
Haina majina ya watoto tena
Ukiona mtu anaeleza sana asivyo na shida ujue kuna walakiniLakini unanichamba bure kabisa, tena kwa kuziamini hisia zako,
Umekasirika sana kwa kitu ambacho sio kweli kabisa
1,mimi sikuwahi kumuacha mke wangu hata kidogo,
2. Mimi sijawahi kugombana na mke wangu kiasi hata cha kukataliana tendo la ndoa
3.haya amekuja kuyajua kwa uhakika zaidi watoto wakiwa form na std 7
4 ukiangalia miaka hiyo ndio kipindi nimeanza kusumbuliwa huko nje,kwa hiyo ndio upendo ulizidi sana kwa bi mkubwa
5. Watoto kunitumia hiyo laki, kwanza huwa najiuliza wanitumie zaidi ili nifanyie nini
Mimi nina pesa yangu, viwanja natoka na mama, na anachangia kununua kinywaji ingawa mimi sio mywaji sana, bia mbili tu chali,
Najua wanamtumia mama yao, na uzuri wakati mwingine akitumiwa ananiambia,
Na akisha tumiwa nitaona nguo mpya hapo
Na mwenyewe anafurahi na mimi natafurahi kumwona mke wangu kapendeza na anakuwa kijana zaidi
Sijawahi kununua boxer wala fulana za ndani, vyote nashtukia zipo kabatini, na zile za zamani anatupa, tena wakati nakasirika anatupa zikiwa bado nzuri kabisa
Kiujumla hajawahi nichukia wala sijawahi mchukia
Turudi kwa watoto kutonitumia pesa, walishaona sizishobokei pesa zao, kwa sababu hawajui wanitumie kiasi gani ili nilizika, mimi nina pesa yangu ya kunitosha
Lakini wakati mwingine wadogo wanawapiga mizinga huko, unaona tu dogo karudi nyumbani na shati jipya , hapo si wanakuwa wamesaidia,
Mimi ninachohitaji kwao ni usafiri tu, na wameshaniahidi kunako majaliwa kama hawajajenga wanisuprise na usafiri,
Kwa hayo machache kuwa na amani tu
Unajijibu sio[emoji1][emoji1]Mkuu una familia nzuri sana zaidi ya watu wanavyofikiri. Uzuri umejitoa sana kwao,Mungu akusaidie umalizana na huyo Bi mdogo salama,kitu ambacho kiko wazi utashinda hiyo vita kwani umeshikilia mpini
Ushauri mzuri sanaBaki na hati ya nyumba...mtafute wakili wako asimamie hili kua nyumba haita kaa iuzwe ni ya watoto...waachie watoto nyumba kiroho safi tena mkabidhi mama yao watoto wakiwepo na wakili pia awepo...baada ya hapo endelea kusomesha wanao...huyo mwanamke vunja nae mawasiliano ya kimapenzi kabisa...yabaki mawasiliano ya kuhusu kulea watoto....usitake kujua anatoka na nani au ataishi na nani kwani umesha amua kuachana nae...nyumba ibaki kua yako ila wanao waishi hapo...hebu fanya hivyo.
Uwe unasoma story katikati ya mistariMkuu tuliza akili hapo anamuongelea mke mkubwa wapo wote nyumbani lkn watoto toka wapate kazi yeye wamempa 120000 tu ila mama yao kila siku anabadili nguo kwa pesa za watoto.
Nakuaminia, umatamani ununue kesiEeh.. ni kurubembe hilo. Na ana bahati si ndugu na mwitore[emoji23][emoji23] hizo ngumi no za kibosho na machame. Ningemrukiaaaaaa... vichwaaaa... angeaga mwenyewe. Na ningehamia hapohapo
[emoji1][emoji1][emoji1]Unajijibu sio[emoji1][emoji1]
Yeah hizo mbili nina hakika ni zakeAna I'd nyingi nyingine Mara j NMB in short anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji849]
Mwitore kaka you are very strong.Hao wanaokukejeli hawajui maisha,wanatakiwa wajifunzr.King,
Nimeshazungumza kuhusu bi mkubwa, ni kweli baadaye sana alifahamu,
Tokea mwanzo nilisema huu uzi sitaki sana kumzungumzia,
Shabaha ya uzi ni bi mdogo, sasa nimejikuta nalazimishwa mpaka kufahamu mambo ya bi mkubwa,
Kiufupi hana tatizo na mimi, sasa kama ananichekea mdomoni tu mimi sijui
Kama ananitegea kunifanyia kitu mbaya, vile vile sijui, siwezi kuingia kwenye moyo wake
Nachoona tupo happy tu
Ameshakubali hali halisi tunaishi,
Hakuna anachokosa yetu uzima I mwake
Kama mnataka nifunguke zaidi kuhusu bi mdogo nitaendelea kadri nitakapokuwa nakumbuka mambo ya ovyozaidi
Kwa taarifa bado sijafunguka kuhusu vikao zaidi ya 8 tulivyokuwa tunaitisha, alikuwa anazungumza nini
Kwa nini alianza kuniita huyu hataki wageni
Majirani na marafiki zake walikuwa na tabia gani, na nini kiliwapa
Polisi.ustawi wa jamii, mahakama, ofisi za kata
Pote huko walikuwa Na mchango gani kuokoa huu uhusiano Na nini udhaifu mkubwa kabisa upo huko hapana nikashangaa hivi kweli wapo serious kabisa na matatizo ya watu au wapo kwa ajili ya kupiga soga tu, na kutaka kujua matatizo ya watu kiumbea
Mama ni mengi,
Na mwisho kwa ajili ya kumbukumbu zangu za baadaye, haya ni maandishi ambayo itabidi niyahifadhi kitaalaam ili niweze kutumia baadaye
Hasa tukifikia kipindi cha kupelekana mbele zaidi,
Ninachoshukuru kila tunapoendelea na michango na maswali, nashangaa nakumbuka mambo ambayo nilishayapotezea, Ahsante sana
Ila kumbukeni tu,
HII NI TRUE STORY
SIO TAMTHILIA
hata mimi kuna kipindi ninapokuwa mwenyewe nikifikiria haya matukio, iwe kwenye usafiri, ofisini, chooni, naoga, huwa nacheka sana,
Maana huo siamini kama haya mambo yanaweza kunitokea mimi na nikaendelea kuishi
Watu wengi sana wameshajiua kwa maana kama kama haya
Umeinvest km mke ama km mchepuko! We no boya ata aliyokufanyia ni kidogo sana subiri jamaa ake aje akuue ukose vyoteKama ulisha invest kule kama mimi nilivyoinvest ingukuwa wewe ungefanyaje?
Halafu kumbuka serikali ipo na sheria zipo!
Upo vizuriKuhusu single mom.. kuna wanaowasema vibaya hapo juu. Haihusiani na mada yako
Pili... naomba tena uelewe... HUJAWAHI KUPENDWA NA HUYO MALAYA. Kwanini hutaki kukubali? Yaani mimi mwanamke nakuambia ukweli halafu unakataa? Umewahi ona wapi MCHEPUKO akampenda mume wa mtu mapenz ya kufa kuzikana pasipo mali? Yaan from nowhere tuu eti hina maisha, huna mbele wala nyuma halaf eti mwanamke akubali kuwa spare wakati anajua kina mainchick? Tena achilia ndoa tu. Tukiwa wapenzi na nikajua kuna main basi jua nakuigizia. Huo ndo uhalisia. Ameanza kubadilika BAADA YA KUPATA ALICHOKITAKA. hakuna cha mashost wala nini. Tena lishamba kweli. Cheap kabisa.
Kwa nyumba uza kabisa nakusupport... hii hela tia kwenye akaunt ya mkeo yote halafu wewe ndo ufate nyuma. Acha huu ujinga. Hapa hakuna complications zozote. Hakuna mapenz yoyote hapo.
Ila kila nikiimagine jinsi hilo limchepuko lilivyo lishamba nashindwa kbs kutamatisha... unayo makosa yako na mchepuko unayo yake kuingilia maboma ya watu. Nachosema ashukuru tu me si nduguyo. Ningekabamizaaaaaa...
Mungu azidi mbariki Mother house...
Nimekupenda bure pendo kwa kuwa hujaegemea upande mmoja, ushauri uliotoa kwa huyo mzee baba lazima auzingatie, vinginevyo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Hakika sikio la kufa halisikii dawaKuchambwa lazima. Muhimu mnooo... maana unafanywa zoba.
Naomba nikuambie... acha kbs kujisemea eti una hela nyingi... hakuna kitu kitamu kama cha kupewa mzee wangu. Baba yangu ana jimudu vyema. Lakini vile vidogo nampatiaaa.... heheheeee yaanii anaona rahaaa. Usituongopee hapa. Yaan hakuna kitu raha kama kutunzwa. Yaan mashati alonunua babangu ameyatelekeza anavaa yangu. Na anasema malaika wangu ameninunulia haya ili nivae. Na yamepauka anayapenda balaa. Wewe hutaki hizo raha? Hakuna kitu kibaya kama kutengwa na familia. We rudi tu kwa mkeo ndo la msingi. Yaan rudi. Mwanao hata akakupa elf 10 ni tamu sana. Hela yako mwenyewe haina mzuka kama ya wale ambao wanakijali wewe na unawajali... rudi kundini.