Muulize ikiwa hutaki kumpa nyumba, kiasi gani cha pesa kitamridhisha kuwa kapata haki yake? Kama kiasi unakinudu, andikishianeni na biashara iishie hapo.OMBI WAKUU NA USHAURI
hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,
Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,
Ila bado haijaisha,
Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Daah badala ya kusikitika ngoja nicheke, dada hivi ni sawa na mtu kusema wew ndo mshana jr huku unajua sio kabsa, mimi ndo mimi sina Id nyingine dada maana umekazia mno, au umenipenda maana hisia huelezwa kwa njia nyingi[emoji291]Ana I'd nyingi nyingine Mara j NMB in short anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji849]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wazee wa JF haoYeah hizo mbili nina hakika ni zake
Dunia imeisha hata wazee wamekuwa maselasela
Watoto ni tofauti na mama yao. Si huwa wanakutana nao akiwa kwao kijijini? Unaweza kumpiga marufuku, ikija suala la watoto, waingize kwenye basi wakaonane naye hukohuko.Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,
Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Msiwe na imani haba kiasi hicho, kisa sijamkosoa mshkaji ndo mnaona ndo yeye na ID fake, sio lazma wote tufanane mitazamo aisee pia tumekulia familia tofaut so kila mmoja ana mtazamo wake akosoe au asahihishe na kumtia moyo mhanga.Yeah hizo mbili nina hakika ni zake
Dunia imeisha hata wazee wamekuwa maselasela
Kweli umeshikwa wewe! Inakuhusu nini atakachofanya wakati umeshamwacha?Da , vipi nikimwacha, watamkimbia?
Hebu weka vizuri hapo
Uliwahi kuwa na matatizo na mkeo, hata ukaamua kuwa na huyu unayeendeshana naye?Kwa nini ujue tabia ya mchepuko na sio hata mke wako, kwani mke naye si ni binadamu,
Ana tofauti gani na mchepuko?
Kwa nini ujue tabia ya mchepuko na sio hata mke wako, kwani mke naye si ni binadamu,
Ana tofauti gani na mchepuko?
Huyu mama ajengewe sanamu popote kuleWanawake wenzangu naomba niseme kwa maoni yangu kuna wanawake wachawi jamaniii msiombeee watu tuna maushuhudaa meengi hatusemi tumechoka tu.
Kuna wanawake wanaletwa mjini teknikali washavishwa maagano ya kichawi kwamba akifika akikutana na mwanaume mwenye hela amroge amtongoze,ahakikishe anamzalia anamtawala...Ukitazama story ya huyu baba jamani huu ni uchawi live yaani alirogwa akarogeka maana kwa status yake alishindwa kumpata mwanamke kazini kwake huko?kaenda tu kuvamia demu halafu huyo demu ukisoma vizuri alivompata mshikaji Akahma fastaa pale kwa mwenyeji wake. Huyo Dada ni mchawi maana kwa aliyofanyiwa na huyu mwanaume na vituko alivyofanyiwa si akili ya kawaida jamani.
Nawaomba ombeeni sana baba zetu,tuombee sana watoto wa kiume wetu,kaka zetu na zaidi waume zenu..UChawi upo na unafanya kazi na shetani yupo kazini...
Tunaweza shabikia kua amekomeshwa hatujui ndugu zetu wa kiume wanakula vichafu vingapi huko mitaani!Wanawake sisi miongoni mwetu ndo hao hao tunaharibu waume za watu.Jamani usiombe mmeo arogwe Yarrabi 'maji utaita mma'huyu hata kusomesha kasomesha humu hakuna wametelekezwa na wazazi kisa michepuko baba hana time kabisaa yaani na familia...
Kama baba yako hana mtoto nje,au mmeo hana mtoto nje shukuru sana Mungu lakini mke pekee anaejua mumewe alipo ni mjane.
Vita kubwa nje tena sana haijaanza Jana wala juzi wanawake wengi kuliko wanaume
Huyu baba sasa hivi akili inafunguka limbwata halina nguvu tenaa ndo maana anahangaika na ana Mungu wengine wanauliwa ,wanakufa na kudhulumiwa saanaa tu...arudi kwa Mungu apige goti atakaa sawa hajachelewa kwa Mungu bado mpk siku akiitwa maiti
Waswahili wanasema CHEKA SANAAA,ILA OMBA YASIKUKUTE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kitu cha msingi sana.Wanawake wenzangu naomba niseme kwa maoni yangu kuna wanawake wachawi jamaniii msiombeee watu tuna maushuhudaa meengi hatusemi tumechoka tu.
Kuna wanawake wanaletwa mjini teknikali washavishwa maagano ya kichawi kwamba akifika akikutana na mwanaume mwenye hela amroge amtongoze,ahakikishe anamzalia anamtawala...Ukitazama story ya huyu baba jamani huu ni uchawi live yaani alirogwa akarogeka maana kwa status yake alishindwa kumpata mwanamke kazini kwake huko?kaenda tu kuvamia demu halafu huyo demu ukisoma vizuri alivompata mshikaji Akahma fastaa pale kwa mwenyeji wake. Huyo Dada ni mchawi maana kwa aliyofanyiwa na huyu mwanaume na vituko alivyofanyiwa si akili ya kawaida jamani.
Nawaomba ombeeni sana baba zetu,tuombee sana watoto wa kiume wetu,kaka zetu na zaidi waume zenu..UChawi upo na unafanya kazi na shetani yupo kazini...
Tunaweza shabikia kua amekomeshwa hatujui ndugu zetu wa kiume wanakula vichafu vingapi huko mitaani!Wanawake sisi miongoni mwetu ndo hao hao tunaharibu waume za watu.Jamani usiombe mmeo arogwe Yarrabi 'maji utaita mma'huyu hata kusomesha kasomesha humu hakuna wametelekezwa na wazazi kisa michepuko baba hana time kabisaa yaani na familia...
Kama baba yako hana mtoto nje,au mmeo hana mtoto nje shukuru sana Mungu lakini mke pekee anaejua mumewe alipo ni mjane.
Vita kubwa nje tena sana haijaanza Jana wala juzi wanawake wengi kuliko wanaume
Huyu baba sasa hivi akili inafunguka limbwata halina nguvu tenaa ndo maana anahangaika na ana Mungu wengine wanauliwa ,wanakufa na kudhulumiwa saanaa tu...arudi kwa Mungu apige goti atakaa sawa hajachelewa kwa Mungu bado mpk siku akiitwa maiti
Waswahili wanasema CHEKA SANAAA,ILA OMBA YASIKUKUTE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mzee anaamini yuko perfect. Namsihi awe na msimamo. Bado ana mapenzi kindakindaki kwa mchepuko. Huoni anaogopa asirudi maan hana ujasiri wa kumtawala. Nataman niombe undugu kwa jamaa halaf huyo mchepuko anikuteee..Nimekupenda bure pendo kwa kuwa hujaegemea upande mmoja, ushauri uliotoa kwa huyo mzee baba lazima auzingatie, vinginevyo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Hakika sikio la kufa halisikii dawa
Nimeuelewa sana mchango wako. Kiukweli sikutilia maanani sana kwmb anko anaweza akawa kafanyiwa ivyo. Kuna kiukweli flani wa icho usemacho. Amshukuru Mungu mpk sasa kamueka hai.Wanawake wenzangu naomba niseme kwa maoni yangu kuna wanawake wachawi jamaniii msiombeee watu tuna maushuhudaa meengi hatusemi tumechoka tu.
Kuna wanawake wanaletwa mjini teknikali washavishwa maagano ya kichawi kwamba akifika akikutana na mwanaume mwenye hela amroge amtongoze,ahakikishe anamzalia anamtawala...Ukitazama story ya huyu baba jamani huu ni uchawi live yaani alirogwa akarogeka maana kwa status yake alishindwa kumpata mwanamke kazini kwake huko?kaenda tu kuvamia demu halafu huyo demu ukisoma vizuri alivompata mshikaji Akahma fastaa pale kwa mwenyeji wake. Huyo Dada ni mchawi maana kwa aliyofanyiwa na huyu mwanaume na vituko alivyofanyiwa si akili ya kawaida jamani.
Nawaomba ombeeni sana baba zetu,tuombee sana watoto wa kiume wetu,kaka zetu na zaidi waume zenu..UChawi upo na unafanya kazi na shetani yupo kazini...
Tunaweza shabikia kua amekomeshwa hatujui ndugu zetu wa kiume wanakula vichafu vingapi huko mitaani!Wanawake sisi miongoni mwetu ndo hao hao tunaharibu waume za watu.Jamani usiombe mmeo arogwe Yarrabi 'maji utaita mma'huyu hata kusomesha kasomesha humu hakuna wametelekezwa na wazazi kisa michepuko baba hana time kabisaa yaani na familia...
Kama baba yako hana mtoto nje,au mmeo hana mtoto nje shukuru sana Mungu lakini mke pekee anaejua mumewe alipo ni mjane.
Vita kubwa nje tena sana haijaanza Jana wala juzi wanawake wengi kuliko wanaume
Huyu baba sasa hivi akili inafunguka limbwata halina nguvu tenaa ndo maana anahangaika na ana Mungu wengine wanauliwa ,wanakufa na kudhulumiwa saanaa tu...arudi kwa Mungu apige goti atakaa sawa hajachelewa kwa Mungu bado mpk siku akiitwa maiti
Waswahili wanasema CHEKA SANAAA,ILA OMBA YASIKUKUTE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simuombei mabaya lakini na hizi NIMONIA, mfano ikampitia huyo mchepuko, wa jamaa yetu, akadonti!Kweli umeshikwa wewe! Inakuhusu nini atakachofanya wakati umeshamwacha?
Ukijifikiria, wewe ndio kichaa. Kama anaondoka na anarudi miaka nenda rudi, hakuna linalotokea, unategemea ataacha?Miranda I, hilo halina shaka, najiamini,
Ndugu yangu nimetumia kila mbinu, asiende huko, ikiwa ni pamoja na kumfukuza ndani mwangu,amewahi kulala nje mala mbili,
Nimeshamwitia mjumbe, mpaka majirani,
Nimeshapiga,
Nimeshatoa taarifa kwa wazazi wake,
Hebu fikiria hili,
Kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukipingana kuhusu biashara ya kusafiri
Na akisafiri ndio hivyo anakaa wiki anarudi tnagombana sana,
Lakini leo unathubutu kwenda kukodi shamba ulime, na ni hukohuko Moro ambako sitaki uende?
Unafikiri hii ni akili kweli ya binadamu
Hapana huyu ni kichaa tayali
😂 😂 wengi tupo na michepuko,Hivi ni nini kinawafanya muiamini habari hii kwa asilimia zote kuwa ni ya kweli na si ya kutungwa?
My dear...Exactly. Kuna heshima ipi na upendo gani mtu kwenda kuvunja agano lake la ndoa na mchepuko? Labda kama kuna definition mpya ya upendo na heshima