Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

OMBI WAKUU NA USHAURI

hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,

Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,

Ila bado haijaisha,

Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
Muulize ikiwa hutaki kumpa nyumba, kiasi gani cha pesa kitamridhisha kuwa kapata haki yake? Kama kiasi unakinudu, andikishianeni na biashara iishie hapo.
 
Ana I'd nyingi nyingine Mara j NMB in short anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji849]
Daah badala ya kusikitika ngoja nicheke, dada hivi ni sawa na mtu kusema wew ndo mshana jr huku unajua sio kabsa, mimi ndo mimi sina Id nyingine dada maana umekazia mno, au umenipenda maana hisia huelezwa kwa njia nyingi[emoji291]
 
Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,

Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Watoto ni tofauti na mama yao. Si huwa wanakutana nao akiwa kwao kijijini? Unaweza kumpiga marufuku, ikija suala la watoto, waingize kwenye basi wakaonane naye hukohuko.
 
Yeah hizo mbili nina hakika ni zake

Dunia imeisha hata wazee wamekuwa maselasela
Msiwe na imani haba kiasi hicho, kisa sijamkosoa mshkaji ndo mnaona ndo yeye na ID fake, sio lazma wote tufanane mitazamo aisee pia tumekulia familia tofaut so kila mmoja ana mtazamo wake akosoe au asahihishe na kumtia moyo mhanga.
 
Leo nimeshindia kwenye huu uzi. Mimi kama kjn naechipukia kwny maisha ya ndoa nimepata somo kubwa na hakika nitajitahid kutofanya makosa kama ya anko Mwitore. Sina cha kumshauri nimeona shauri nyingi na za maana uko juu. Kikubwa achague iliyobora/zilizobora na kuifanyia/kuzifanyia kazi. Chao!
 
Wanawake wenzangu naomba niseme kwa maoni yangu kuna wanawake wachawi jamaniii msiombeee watu tuna maushuhudaa meengi hatusemi tumechoka tu.

Kuna wanawake wanaletwa mjini teknikali washavishwa maagano ya kichawi kwamba akifika akikutana na mwanaume mwenye hela amroge amtongoze,ahakikishe anamzalia anamtawala...Ukitazama story ya huyu baba jamani huu ni uchawi live yaani alirogwa akarogeka maana kwa status yake alishindwa kumpata mwanamke kazini kwake huko?kaenda tu kuvamia demu halafu huyo demu ukisoma vizuri alivompata mshikaji Akahma fastaa pale kwa mwenyeji wake. Huyo Dada ni mchawi maana kwa aliyofanyiwa na huyu mwanaume na vituko alivyofanyiwa si akili ya kawaida jamani.

Nawaomba ombeeni sana baba zetu,tuombee sana watoto wa kiume wetu,kaka zetu na zaidi waume zenu..UChawi upo na unafanya kazi na shetani yupo kazini...
Tunaweza shabikia kua amekomeshwa hatujui ndugu zetu wa kiume wanakula vichafu vingapi huko mitaani!Wanawake sisi miongoni mwetu ndo hao hao tunaharibu waume za watu.Jamani usiombe mmeo arogwe Yarrabi 'maji utaita mma'huyu hata kusomesha kasomesha humu hakuna wametelekezwa na wazazi kisa michepuko baba hana time kabisaa yaani na familia...
Kama baba yako hana mtoto nje,au mmeo hana mtoto nje shukuru sana Mungu lakini mke pekee anaejua mumewe alipo ni mjane.
Vita kubwa nje tena sana haijaanza Jana wala juzi wanawake wengi kuliko wanaume
Huyu baba sasa hivi akili inafunguka limbwata halina nguvu tenaa ndo maana anahangaika na ana Mungu wengine wanauliwa ,wanakufa na kudhulumiwa saanaa tu...arudi kwa Mungu apige goti atakaa sawa hajachelewa kwa Mungu bado mpk siku akiitwa maiti

Waswahili wanasema CHEKA SANAAA,ILA OMBA YASIKUKUTE!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama ajengewe sanamu popote kule
 
Umeongea kitu cha msingi sana.

Huyu mzee alitengenezwa akatengenezeka, nadhani mganga alomtengeneza ameshafariki ndiyo maana mchepuko unashindwa kutegua tego.
 
Nimekupenda bure pendo kwa kuwa hujaegemea upande mmoja, ushauri uliotoa kwa huyo mzee baba lazima auzingatie, vinginevyo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Hakika sikio la kufa halisikii dawa
Tatizo mzee anaamini yuko perfect. Namsihi awe na msimamo. Bado ana mapenzi kindakindaki kwa mchepuko. Huoni anaogopa asirudi maan hana ujasiri wa kumtawala. Nataman niombe undugu kwa jamaa halaf huyo mchepuko anikuteee..

Ila na mzee wetu azibuliwe kofi moja atoke usingizini
 
Wanawake wenzangu naomba niseme kwa maoni yangu kuna wanawake wachawi jamaniii msiombeee watu tuna maushuhudaa meengi hatusemi tumechoka tu.

Kuna wanawake wanaletwa mjini teknikali washavishwa maagano ya kichawi kwamba akifika akikutana na mwanaume mwenye hela amroge amtongoze,ahakikishe anamzalia anamtawala...Ukitazama story ya huyu baba jamani huu ni uchawi live yaani alirogwa akarogeka maana kwa status yake alishindwa kumpata mwanamke kazini kwake huko?kaenda tu kuvamia demu halafu huyo demu ukisoma vizuri alivompata mshikaji Akahma fastaa pale kwa mwenyeji wake. Huyo Dada ni mchawi maana kwa aliyofanyiwa na huyu mwanaume na vituko alivyofanyiwa si akili ya kawaida jamani.

Nawaomba ombeeni sana baba zetu,tuombee sana watoto wa kiume wetu,kaka zetu na zaidi waume zenu..UChawi upo na unafanya kazi na shetani yupo kazini...
Tunaweza shabikia kua amekomeshwa hatujui ndugu zetu wa kiume wanakula vichafu vingapi huko mitaani!Wanawake sisi miongoni mwetu ndo hao hao tunaharibu waume za watu.Jamani usiombe mmeo arogwe Yarrabi 'maji utaita mma'huyu hata kusomesha kasomesha humu hakuna wametelekezwa na wazazi kisa michepuko baba hana time kabisaa yaani na familia...
Kama baba yako hana mtoto nje,au mmeo hana mtoto nje shukuru sana Mungu lakini mke pekee anaejua mumewe alipo ni mjane.
Vita kubwa nje tena sana haijaanza Jana wala juzi wanawake wengi kuliko wanaume
Huyu baba sasa hivi akili inafunguka limbwata halina nguvu tenaa ndo maana anahangaika na ana Mungu wengine wanauliwa ,wanakufa na kudhulumiwa saanaa tu...arudi kwa Mungu apige goti atakaa sawa hajachelewa kwa Mungu bado mpk siku akiitwa maiti

Waswahili wanasema CHEKA SANAAA,ILA OMBA YASIKUKUTE!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuelewa sana mchango wako. Kiukweli sikutilia maanani sana kwmb anko anaweza akawa kafanyiwa ivyo. Kuna kiukweli flani wa icho usemacho. Amshukuru Mungu mpk sasa kamueka hai.
 
Kweli umeshikwa wewe! Inakuhusu nini atakachofanya wakati umeshamwacha?
Simuombei mabaya lakini na hizi NIMONIA, mfano ikampitia huyo mchepuko, wa jamaa yetu, akadonti!
Ni mfano tu ,ila simuombei!

Nna uhakika ataleta uzi wa kugombea mwili na mume mwenzake na wazazi ili amzike yeye!

Alizuzuka na kusifiwa hajui michepuko hiyo ndiyo mbinu na silaha yao kubwa, mtu mzima unaitwa baby!
Baby unajua mahaba, baby unanikuna vizuri, baby unajua kulea na kutunza!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
  • Thanks
Reactions: T11
Miranda I, hilo halina shaka, najiamini,
Ndugu yangu nimetumia kila mbinu, asiende huko, ikiwa ni pamoja na kumfukuza ndani mwangu,amewahi kulala nje mala mbili,

Nimeshamwitia mjumbe, mpaka majirani,
Nimeshapiga,
Nimeshatoa taarifa kwa wazazi wake,

Hebu fikiria hili,
Kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukipingana kuhusu biashara ya kusafiri
Na akisafiri ndio hivyo anakaa wiki anarudi tnagombana sana,

Lakini leo unathubutu kwenda kukodi shamba ulime, na ni hukohuko Moro ambako sitaki uende?
Unafikiri hii ni akili kweli ya binadamu
Hapana huyu ni kichaa tayali
Ukijifikiria, wewe ndio kichaa. Kama anaondoka na anarudi miaka nenda rudi, hakuna linalotokea, unategemea ataacha?
 
Hivi ni nini kinawafanya muiamini habari hii kwa asilimia zote kuwa ni ya kweli na si ya kutungwa?
😂 😂 wengi tupo na michepuko,
Tunaangalia wapi tusikosee.

Na wadada/wamama wanaangalia wapi na nini cha kuwafanya waume zao ambao wana michepuko!

Na michepuko wanaangalia na kujifunza jinsi wanavyotakiwa nao kujengewa mijumba na kuachiwa mali za mil100.😀

Humu somo tupu kwa kila angle!
Pia tunajiburudisha tuepukane na hizi frastresheni za mi5 tena.

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom