cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Mimi Sijaona Cha kumhurumia huyu aisee.Ndio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Sijaona Cha kumhurumia huyu aisee.Ndio maana sijawahi waonea huruma, msiba wa kujitakia huo.
Na watoto wa mke wa tatu wana excuse gani?So sad nimeshuhudia shemeji yangu mkubwa yaani alikuwa na wake 3 lakini uzeeni ni kama hakuwahi zaa wala kuoa. Sasa hivi wadogo zake ndio wanamtunza watoto wana kazi ya kuangalia mama zao tu. Wale wa ni mkubwa wanasema baba yao aliwa neglect wakiwa wachanga sana wakalelewa na mama yao hii ni kweli. Wale wa mke wa pili wanasema baba yao alimpenda mke wa Tatu kwa hiyo hao watoto wa mke wa Tatu ndio watunze baba yao kwa kuwa wao ndio walifaidi pesa zake. Bi mkubwa yuko zake Canada ana kula raha na wanae.
Hii chai ina ulazima wa kuongeza kijiko cha sukari aiseeUshauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili...
Dah...unatutesa Kama anavyokutesa bi mdogo, Sasa jamani tutaguess Nini hapo? Unataka tukushauri au unatuhadithia tu ili tuanze ku guess.....malizia bwana wahenga wenzio tunasubiriBaada ya kuiuza ile nyumba, na kipindi hicho ujue tayali alishaanza kuwa na kachuki fulani hivi ambako sikukaelewa, ila akili yangu ilinituma labda hakupenda tuuze ila nyumba, mimi sikujali..
akiamka utanitagiOna sasa comment nyingi mpaka kalala baba yetu
Asante kwa haya maarifa mkuuNi kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza,
Ila ushauri kwa wanaume wenzangu tusisahau future yetu, hawa ndugu zetu huwa wapo kimya wanatutegea tu, tukishaishiwa au nguvu na kipato kupungua wenyewe hao wanakimbilia kukaa kwa watoto wao sisi hatuwezi,
KEEP IT IN YOUR MIND FROM TODAY
Tunazidi kuongez maarifa kidogo kidogoNi kweli, siwezi mwanamke ambaye roho yangu haimpendi, siwezi kukaa naye hata Dk moja, ila naye lazima anipende , kama huyu kusema ukweli alinipenda sana, ukiona mwanamke mpaka anakulalia miguuni mpo chini ya mti mnasililiza radio band mbili, huyo ni wako,
Ila awe bado mbichi hawa wakubwa wakubwa wanaweza kuwa na malengo yao
Kashtuka kidogo katuacha tuguessakiamka utanitagi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka wote tupate stressKashtuka kidogo katuacha tuguess
[emoji3516]Wanapenda kujipa stress na hawakomi
Huyu mzee ni mfano wa hawa mabaharia wa sasa wanao tamba wanasahau fainali uzeeni
anko umetupa ushauri bora sana.Ni kweli, sisi wanaume ni maguvu, lakini usisahau kwamba tuliambiwa majukumu yote ya kulea familia ni yetu, labda ndio maana kutokana na ugumu wa familia huwa tanajifariji kwa mambo kama haya, mwishowe tunapoteza