Naomba ushauri: Mimi nafanya biashara na Wakinga je, nichukue tahadhari gani?

Sahih mkuu mm siamini ushirikin bali ni hofu tu nimepata
 
Hawana Baya jirani zangu hawa.
Endelea kuzisaka mkuu,,,,,,,,"riziki"
 
Umemaliza yote kula tano mtu wangu 😍😍😍
 
Wasiwasi ndio akili,ila ngoja nikuitie dada Mkinga maana na yeye ana duka lake mtaa wa sikukuu atupe Moja na mbili Lamomy Haya njoo ujibu hoja hapa
Dada sisi wakinga ni waaminifu na tunapenda kufanya biashara yenye mzunguko na inayotembea kwa haraka. Ndiomana tunaweka faida ndogo.
Yeye kikubwa asilete janja janja Za nyani anapodhaminiwa mizigo hiyo auze kilicho cha watu apeleke asiingie tamaa.
Na issue ya uchawi na majini hiyo propaganda tu km uchawi ni utajiri wengi tungekaa bila kufanya kazi. Hivyo uchawi ni tabia ya mtu.
Ukitaka usiyumbe fanya kazi kwa bidii, mtangulize Mungu na kuwa na nidhamu na pesa.
Mwisho sina duka kkoo msimsikilize Kantry anawadanganya 🤣🤣🤣
 
Asiposikia huu ushauri Toka Kwa Mkinga halisi basi tena.
 
Asante sna kwa taarifa hi muhimu
 
Km bado hujaoa, oa mkinga ufurahie maisha ya peponi duniani [emoji12]
Duh mkuu kweli unasema au unanitakia majanga yanipate mnk Nina mmoja anaitwa J......tweve namfikiria lkn huwa namuogopa mnk nae anapesa balaa na Bado hajaolewa na huwa namuogopa mno nahisi asije kuwa Ni wale wale tu wa kutoa kafara am scared u know[emoji23]
 
Mimi ninawashauri wakinga wawe makini na mtu mpumbavu kama wewe. Mtu ambaye umeaminika hadi kukopeshwa mzigo wa noti ndefu lakini bado unahisi unataka kutapeliwa na kulogwa... jinga kabisa. Watu kama nyie ndo mnafanya maendeleo yasiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…