Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ni pipa na mfuniko sio?Kwa mwandiko huu wala hafanyi kosa kukudanganya
Kwahiyo unamaanisha, bi dada yupo sahihi kumuongopea mkaka?Kwa mwandiko huu wala hafanyi kosa kukudanganya
Huyo binti ni mdogo na ndio anaanza kuwa naye mjanja mjanja .Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,
Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio babu kubwa, kuna siku amepata safari walisafiri na dada yake. Siku hiyo alioamba nauli tulikwazana sikumpa wakasafari alivyofika kule nikamtafuta nikamuuliza akasema nauli amekopewa na dada yake, kwahiyo ana mdai.
Ilivyofika siku ya kurudi nikatuma nauli ya kwake na ya kumlipa dada yake hatimaye wakarudi lakini akatuma sms eti usimwambie dada kama umenitumia hela, nkapgwa na butwaa ikabidi nimtafute dada yake na kumueleza yaliyopo dada yake akaniambia siku ya safari ya kuenda hawakutumia nauli walipanda gari la kanisa bure ila nauli walitoa wakati wa kurudi na hakumpa hela dada yake alitoa ya kwake tu
Ni hayo machache japo yapo na mengine, mnanishauri nin? Juu ya hili nataka kumuacha lakini nikikumbuka tumetoka mbali sana mpaka tumefka hapa. Nina miaka miwili kwenye mahusiano mpaka sasa
NB: Nilipanga aje kuwa mke wangu hapo baadaye lakini tabia yake ya kutokuwa muwazi ina kera mara kadhaa nimemwambia ajitahidi asiwe ana danganya lakini bado.
Wee jamaa ni mtu wa ajabu sana siijui utakuwa kabila Gani iviHabari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,
Nahtaji ushauri, nimekuwa na mpenzi wangu ambaye mara nyingi anakuwa muongo sana hataki kuweka mambo yake wazi, japo sio sana. Sasa hili ndio babu kubwa, kuna siku amepata safari walisafiri na dada yake. Siku hiyo alioamba nauli tulikwazana sikumpa wakasafari alivyofika kule nikamtafuta nikamuuliza akasema nauli amekopewa na dada yake, kwahiyo ana mdai.
Ilivyofika siku ya kurudi nikatuma nauli ya kwake na ya kumlipa dada yake hatimaye wakarudi lakini akatuma sms eti usimwambie dada kama umenitumia hela, nkapgwa na butwaa ikabidi nimtafute dada yake na kumueleza yaliyopo dada yake akaniambia siku ya safari ya kuenda hawakutumia nauli walipanda gari la kanisa bure ila nauli walitoa wakati wa kurudi na hakumpa hela dada yake alitoa ya kwake tu
Ni hayo machache japo yapo na mengine, mnanishauri nin? Juu ya hili nataka kumuacha lakini nikikumbuka tumetoka mbali sana mpaka tumefka hapa. Nina miaka miwili kwenye mahusiano mpaka sasa
NB: Nilipanga aje kuwa mke wangu hapo baadaye lakini tabia yake ya kutokuwa muwazi ina kera mara kadhaa nimemwambia ajitahidi asiwe ana danganya lakini bado.
Tafuta PesaHabari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,

Unadate na Lissa Atakuua huyoHabari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,

Piga chini papuchi ziko nying saanaHabari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,

Alafu sasa kesi haina hata mshiko yaani mwanaume unafatilia vitu vya kijinga kama hivoWee jamaa ni mtu wa ajabu sana siijui utakuwa kabila Gani ivi
1.kwanini unashidwa kumsitili mpenzi wako jambo lake la Siri ukakimbilia kumwambia Dada yake
2.mpka hapo ushaonekana ww ni mmbeya
2.Miaka yote umempiga pumbu mpka k umeichakaza leo unataka kumuacha kwa vitu ambayo ww ndo mwenye makosa
3.ivi unadhani ungekuwa unamuhudumia vizuli hayo yote unayoyazungumza yangekuwepo
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Habari kaka zangu na dada zangu katika jukwaa hili,