Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana tabia ya uongo

Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana tabia ya uongo

Nilitaka hadi kubadili dini niwe msabato lakin wapi nikaachwa [emoji1787]
 
Ukimuona mtu muongo, awe mume au mke, awe boyfriend au girlfriend basi tambua unaibiwa wa maneno na vitendo.

Na ndiyo maana malaya wote ni waongo waongo na rafiki ya uongo ni wizi. Kwa kifupi mtu muongo ni malaya na mwizi
Nilikuwaga na kademu kaongo zaidi hata ya huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yule msichana hata kwenye mambo ambayo sio ya kudanganya alikuwa anadanganya tu mpaka ikafika sehemu nikapoteza imani naye kabisa nilipoona habadiriki nikampigachini
 
Back
Top Bottom