Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana tabia ya uongo

"malaya wote ni waongo waongo na rafiki wa uongo ni wizi. Kwa kifupi mtu muongo ni malaya na mwizi"

Nadhani ushauri wa maana upo hapo.
 
Huyo binti ni mdogo na ndio anaanza kuwa naye mjanja mjanja .
Halafu kwani wewe ni kweli ??
 
Uwaga unampa pesa za matumizi madogo madogo?

Njaa zinamfanya mwanamke awe na tabia nyingine za ajabu ajabu na sio tu mwanamke hata mwanaume.

Mwanaume maskini wengi waatadondokea kwenye wizi na utapeli na mwanamke maskini kwenye umalaya na kudanga.

Sasa huyo demu wako kama hana kazi na hela ya vitu vdg vdg hapati ktk kwako basi hataishia kwenye uongo bali ataanza kugongwa hovyo
 
Wee jamaa ni mtu wa ajabu sana siijui utakuwa kabila Gani ivi

1.kwanini unashidwa kumsitili mpenzi wako jambo lake la Siri ukakimbilia kumwambia Dada yake

2.mpka hapo ushaonekana ww ni mmbeya

2.Miaka yote umempiga pumbu mpka k umeichakaza leo unataka kumuacha kwa vitu ambayo ww ndo mwenye makosa

3.ivi unadhani ungekuwa unamuhudumia vizuli hayo yote unayoyazungumza yangekuwepo

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta Pesa
Mpe Pesa Mpe Pesa na mwisho Mpe Pesa
 
Unadate na Lissa Atakuua huyo
Unampa pesa na yeye anampa anayempenda zaidi
 
Piga chini papuchi ziko nying saana
 
Alafu sasa kesi haina hata mshiko yaani mwanaume unafatilia vitu vya kijinga kama hivo
 
Mkuu naomba namba yake mm napenda mwanamke muongo muongo.!
Asante.
 
Mimi nilishapiga chini wa hivyo
 
Tatizo mkuu unambania sana kwenye fedha.Inabidi atumie akili ya ziada kukutapeli.
 
Nilitaka kuandika utani ila niwe mkweli.

Mteme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…