Naomba ushauri: Mshahara wangu ni mdogo sana; hautoshelezi mahitaji yangu na familia inayonitegemea

Kwanza, Acha kuwatumia Hela hao ndugu zako wasiotaka kujishughulisha.

Mama yako mzazi na ndugu zako hawakudai kitu, Pambania Maisha yako acha kuendekeza Huruma za kijinga.

Wakipiga simu kuomba hela jibu lako kwao liwe moja tu, " Hali ngumu,Sina hela" full stop...
 
Kama unaona mshahara hautoshi, acha kazi!
 
Weka 20000 kila mwezi,kwenye hiyo 20000 toa Tsh 5000 kila week kwaajili ya kubet na hakikisha unaweka odds chache zisizidi 0dds kumina uhakika utakuwa utaingiza shiling 60000 kila week nje ya mshahara wako, kazi njema sisi wengine tunalipwa 80000 tu kwa mwezi tukiwa hatulali usiku kucha na hii kazi yangu ya ulinzi🙏
 
Watu tunalipwa 80000 tu, tunasave Tsh 50000, tunatumia Tsh 30000 kwa chakula kila mwezi.
 
Hivii unaposhauri hivi unakuwa Unajifurahisha au???? Apunguze matumizi hiyo familia itakulaa mawee au???
Rikiboy, bro hizo pesa anazolipwa ni nyingi sana ningekuwa mimi nasave 200000 hapo.
 
Mkuu unasurvive vp na upo mkoa gani?
 
Watu tunalipwa 80000 tu, tunasave Tsh 50000, tunatumia Tsh 30000 kwa chakula kila mwezi.
Mkuu naona kuna mengi ya kujifunza kwako naomba nipe mbinu unazotumia kusurvive kwa kiwango hicho cha mshahara
 
Na vp kuhusu mikeka mkuu inaweza kunisaidia
Achana na biashara huwezi kutoboa utapoteza mtaji labda ujikite kwenye ushirikina njoo kwenye urahibu wa kubeti lakini usiwe na tamaa tafuta odds zako tano za uhakika kila siku weka 2000- 5000, utanishukuru baadae, pia uzi wako pendwa huwe ni ule wa wazee wenzangu wa kubeti😂😂😂
 
Yeah..nishapita huko mkuu nishapata mwanga kiac nasubili jumamosi nitandaze mkeka wangu safi tu kutoka premier league
 
S
Funga mkanda ili kila mwezi uweke akiba ya 50,000 bila kukosa kwa mwaka mmoja au miwili... Huo mtaji utakaopata anzisha biashara hata kama ni ya genge duka...
Shukrani sana mkuu nitajitahidi kufanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…