Naomba ushauri: Mshahara wangu ni mdogo sana; hautoshelezi mahitaji yangu na familia inayonitegemea

Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month.

kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta hata akiba sina kabisa ukiweka kodi na mambo mengine.

Kutokana na ugumu ninaopitia imenifanya nijiweke kando kabisa na masuala ya mahusiano sababu kiuchumi sipo vizuri, pamoja na yote hayo lakini bado kusave pesa inakuwa changamoto.

Ndugu zangu najua humu kuna watu wanapitia changamoto kama zangu au walishazipitia hivyo wana uzoefu wa kutosha namna ya kusurvive kwa kiwango hiki cha mshahara, na ni vipi unaweza kujiongezea kipato kupitia mshahara kama huu niupatao.

Hivyo nahitaji mawazo yenu ni vipi naweza kujianzishia hata kibiashara kidogo kupitia mshahara huu na nikakuza kipato changu coz mzigo nilionao ni mzito sana.

Naomba ushauri na mawazo yenu ndugu zangu coz JF ni mtandao mpana wenye watu waelewa na mitazamo mikubwa.

Note: Naweza nikajibana bana kibishi nikafikisha laki 5 endapo nitapewa wazo chanya la biashara.

Nipo Dar es Salaam.
Acha hiyo Kazi..
 
Achana na mambo ya kufungua magenge kama wanawake, ni bora ubebe zege kuliko kuuza vimbua na mandazi
Hilo kwangu ni sitaweza nishazoea mizunguko na hustle kubwa kubwa kukaa na kuanza kuuza nyanya sitaweza
 
Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month.

kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta hata akiba sina kabisa ukiweka kodi na mambo mengine.

Kutokana na ugumu ninaopitia imenifanya nijiweke kando kabisa na masuala ya mahusiano sababu kiuchumi sipo vizuri, pamoja na yote hayo lakini bado kusave pesa inakuwa changamoto.

Ndugu zangu najua humu kuna watu wanapitia changamoto kama zangu au walishazipitia hivyo wana uzoefu wa kutosha namna ya kusurvive kwa kiwango hiki cha mshahara, na ni vipi unaweza kujiongezea kipato kupitia mshahara kama huu niupatao.

Hivyo nahitaji mawazo yenu ni vipi naweza kujianzishia hata kibiashara kidogo kupitia mshahara huu na nikakuza kipato changu coz mzigo nilionao ni mzito sana.

Naomba ushauri na mawazo yenu ndugu zangu coz JF ni mtandao mpana wenye watu waelewa na mitazamo mikubwa.

Note: Naweza nikajibana bana kibishi nikafikisha laki 5 endapo nitapewa wazo chanya la biashara.

Nipo Dar es Salaam.
Pole kwa changamoto.

Hebu soma uzi huu unaweza ukapata kitu. Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023
 
Ujinga kitu gani angalia fursa zingine mbona tuna matoto ya ndugu kibao tunasupport ada wewe hao nduguzo chakula tu unataka forum isimame Ebho!!! Kuwa serious basi last born

Tuna matoto ya ndugu
We jamaa una roho mbaya kwelii
 
Back
Top Bottom