Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

Hapo unapigishwa kazi ukiwa umelala mkuu (Unachawiwa)alaf unadanganyishwa na ndoto ukishamliza kupiga kaz wa wapoloo unaachiwa uamke
 
Hapo unapigishwa kazi ukiwa umelala mkuu (Unachawiwa)alaf unadanganyishwa na ndoto ukishamliza kupiga kaz wa wapoloo unaachiwa uamke
Lakini ni saa 4 subuhi inawezekana hii
 
Mkuu nahisi ilo tatizo linakutokea kutokana na kulala kwa mgongo, kama huwa unalalaga kwa mgongo ni rahisi sana kuota ndoto mbaya
 


Una kilo ngapi?.

Usiku unapata usingizi wa kutosha?.

Mwenza wako anasema ukilala unakoroma?.

Unatumia pombe?
 
Una kilo ngapi?.

Usiku unapata usingizi wa kutosha?.

Mwenza wako anasema ukilala unakoroma?.

Unatumia pombe?
1: Usingizi huwa napata mkuu


2: badp sijaoa nna miaka 20 tu.


3: huwa natumia spirit sana dry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…