Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 850
- 656
Tayari....[emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waste of human resources
uchawi unapimwa kairuki eh!!Kwanza acha kula maugali mingi
Je nenda ukapimwe hospital inawezakuwa wameshakufanya mambo tayari wachawi
We haya tu usiseme sikukuambiaAwez kuwa lafkiangu anajisimbua kushoboka [emoji16][emoji16][emoji16]
HAHAHHAHAHHA KWA HIYO WE NI MAREHEMUUUDah ...
Hivi mbona watu humu ndani mnanchukulia poa sana eti 😌
Mkuu nahisi ilo tatizo linakutokea kutokana na kulala kwa mgongo, kama huwa unalalaga kwa mgongo ni rahisi sana kuota ndoto mbayaHabari wakuu
Ushauri wenu tafadhali, hii imekuwa ikinitokea kama mara yatatu mfululizo lakini leo saa nne asubuhi nimepitiwa usingizi kidogo kitandani nimejikuta naanza kuota vitu vya kutisha na watu wanamkimbia huyo mtu mimi amenikamata, mara nimeshtuka mwili wote hakuna kinachofanya nabaki kuangalia tu mpaka dakika 1 au 1:30 ndio fahamu zaviungo zimerudi.
sijui ni tatizo gani, ushauri wenu.
Asanteni
Habari wakuu

Dah ...
Hivi mbona watu humu ndani mnanchukulia poa sana eti [emoji18]
Acha pombe hiyo ndio maana unazimazima1: Usingizi huwa napata mkuu
2: badp sijaoa nna miaka 20 tu.
3: huwa natumia spirit sana dry
1: Usingizi huwa napata mkuu
2: badp sijaoa nna miaka 20 tu.
3: huwa natumia spirit sana dry
Ngoja kuna siku ntabadilika mtanikimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nife mara ngap ?HAHAHHAHAHHA KWA HIYO WE NI MAREHEMUUU