Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

Asante mkuu
 
Sema tu kua umeota unapiga papuchi, ndoto hizi humfanya mtu achoke mithili ya safari ya km600 barabara ya vumbi kwa Landrover
 
Acha iman za kijinga. usipeleke kuku kwa sangoma.

kula msosi mwepesi kabla hujalala. FULLSTOP.
 
Uwe unaomba kabla ya kulala. Angalia room kuwe na hewa ya kutosha. Usiku usile saaana! God bless you!
 
Kapime moyo.
 
Chai ulikunywa?
 
Aisee kumbe huwa unalala pazuri, ndotoni!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…