Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuNAKUSHAURI UFANYE TIBA MBADALA YA CHUMVI, KUOGA MAJI YENYE YA MAWE! MSHANA JR. ALINIFUNZA HIVI TANGU HADI SASA SIJAWAHI OTA TENA NDOTO ZA KUTISHA.
NDOTO ZANGU ZILIKUWA HATARI SANA, ZA KWAKO ZINASUBIRI KAKA! NILIPOFANYA HIVYO HAYO MAUZA MAUZA YAMETOWEKA KABISA NI MIEZI 8 SASA NAISHI MAISHA YA FURAHA BILA HUZUNI!
PEPO WACHAFU WANAKUANDAMA!
tayali nini mkuu
Kapime moyo.Habari wakuu
Ushauri wenu tafadhali, hii imekuwa ikinitokea kama mara yatatu mfululizo lakini leo saa nne asubuhi nimepitiwa usingizi kidogo kitandani nimejikuta naanza kuota vitu vya kutisha na watu wanamkimbia huyo mtu mimi amenikamata, mara nimeshtuka mwili wote hakuna kinachofanya nabaki kuangalia tu mpaka dakika 1 au 1:30 ndio fahamu zaviungo zimerudi.
sijui ni tatizo gani, ushauri wenu.
Asanteni
Chai ulikunywa?Habari wakuu