Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

sharafu

Senior Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
121
Reaction score
137
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.

Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na mazoezi.

Hali hiyo ya kuwashwa mwili hutokea pia nkitumia usafir wa bajaji au pikipiki kwenye rough road . Mwili huwasha mpaka ntakaposhuka kwenye usafir huo.

Lakini kwenye smooth road kama lami sipatwi na tatizo hilo sababu mwili haupati mitikisiko kama kwenye rough road. Usafiri wa pikipiki au bajaji natumia mara moja au mbili kwa mwezi.

Njia ya mojawapo ya kuhakikisha sipatwi na hali hiyo ni kufanya mazoezi kila siku au angalau mara mbili kwa wiki (ya jogging au mengineyo ya kunitoa jasho) .

Lakini ikitokea nimekosa muda wa kufanya mazoezi zaidi ya siku 5 - 7 basi hali ya kuwashwa mwili hutokea tena pindi nkikumbana na mtikisiko wa aina yoyote kama nlivyo eleza hapo juu ( kufanya mazoezi baada ya muda mrefu wa zaid ya siku 5-7, kutumia usafir wa bajaji/pikipiki kwenye rough road).

NB: ktk daladala au usafr wa binafsi sijawahi kumbwa na hali hiyo.

Je ngozi /mwili wangu una shida gani? Nini la kufanya ?

Naombeni ushauri.
 
Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko.

Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na mazoezi.

Hali hiyo ya kuwashwa mwili hutokea pia nkitumia usafir wa bajaji au pikipiki kwenye rough road . Mwili huwasha mpaka ntakaposhuka kwenye usafir huo. Lakini kwenye smooth road kama lami sipatwi na tatizo hilo sababu mwili haupati mitikisiko kama kwenye rough road. Usafiri wa pikipiki au bajaji natumia mara moja au mbili kwa mwezi.

Njia ya mojawapo ya kuhakikisha sipatwi na hali hiyo ni kufanya mazoezi kila siku au angalau mara mbili kwa wiki (ya jogging au mengineyo ya kunitoa jasho) . Lakini ikitokea nimekosa muda wa kufanya mazoezi zaidi ya siku 5 - 7 basi hali ya kuwashwa mwili hutokea tena pindi nkikumbana na mtikisiko wa aina yoyote kama nlivyo eleza hapo juu ( kufanya mazoezi baada ya muda mrefu wa zaid ya siku 5-7, kutumia usafir wa bajaji/pikipiki kwenye rough road).

NB: ktk daladala au usafr wa binafsi sijawahi kumbwa na hali hiyo.

Je ngozi /mwili wangu una shida gani? Nini la kufanya ?

Naombeni ushauri.
Pole sanaa zipo dawa zake wasiliana nami kuzipata 0656303019
 
Pole sanaa zipo dawa zake wasiliana nami kuzipata 0656303019
Kama una tiba kweli ungeanza kwa kueleza kitaalamu huo ni ugonjwa gani, sababu zake ndio uje kwenye tiba. Bila hivyo hata dawa zenyewe zinakosa kigezo cha kuziamini.
 
Kama una tiba kweli ungeanza kwa kueleza kitaalamu huo ni ugonjwa gani, sababu zake ndio uje kwenye tiba. Bila hivyo hata dawa zenyewe zinakosa kigezo cha kuziamini.
Mkuu sio kila ninapoweka comment nianze kuelezea kuanzia ugonjwa, nipo na majukumu mengi sanaa ya kufanya ikiwa ni pamoja na kutoa huduma kwa wagonjwa hapa afisini kwangu.
Hivyo ukiona Nimeandika kwa mkato na haujaridhika na nilichoandika vyema ukauliza kuliko kuweka lawama mbele ama unaweza kunipigia moja kwa moja na nikakupa maelekezo kamili kwa kuongea hujaelewa zaidi.
Vilevile mimi sina shida ya kukuaminisha wewe hapa kwamba dawa ninayo, nguvu sipotezi kabisa katika kuaminisha mtu, bali nguvu naelekeza kuhudumia wanaohitaji huduma.
 
Back
Top Bottom