Running meter.Mkuu hii RM ni nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Running meter.Mkuu hii RM ni nini??
Tena ukienda kiwandani kuna punguzo kidogo kuliko kwa wakala sijui na nasikia ukitumia wakala bei inaongezekaHii ina maanisha Tanzania kuna upigaji sana. Mleta mada kaomba apewe bei ya aina hizo za mabati. Badala ya kuambiwa bei mtu anasema wasiliana nasi, sijui sisi ni mawakala. Kama ni mawakala si mtoe bei! Kama mtu unayo bei halali ya nini kuificha ficha mara wasiliana na huyu.
Mimi ninamshauri mleta mada aende kiwandani na aombe quotation ya idadi ya mabati ili apewe bei kusudi aone kama anaweza au la.
Hawa sijui mawakala watakupiga hela hatari.
"MATAPELI"!!!Wasiliana nasi tukiwa kama mawakala wa kampuni ya ALAF ,sio wa kuuza bali wa kurahishisha mawasiliana kati yako mteja na kiwandani.
Na siku unapochukua unachukulia kiwandani.
Sisi kama Uvimo Civil Group tunanufaika na ufundi kupaua , ni hivyo tu.
Wasiliana nasi Uvimo
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp
Wakuu habarini za asubuhi,
Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae.
Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu.
Natanguliza shu
Dragon Mabati call:0753535935/0785033500Kama hela zako za kuunga unga nenda kiwanda cha Dragon
Nilitembea viwanda vitatu Dsm kupata bei
1. Sunshare hawa bei zao juu kuliko viwanda vyote
2. Alaf bei juu, wako nafasi ya pili baada ya Sunshare
3. Dragon hawa ndo niliona nafuu
Uchaguzi ni wako namba hizi hapa
0716 600 800 Alaf mtu wa marketing
065 229 1297 Sunshare mtu wa marketing
065 229 1297 Dragon mtu wa marketing
Hizo ni namba za Dsm
Chagua mwenyewe
Kwa hyo dragon na sunshare wanashare mtu wa marketing [emoji1] [emoji1787]?Kama hela zako za kuunga unga nenda kiwanda cha Dragon
Nilitembea viwanda vitatu Dsm kupata bei
1. Sunshare hawa bei zao juu kuliko viwanda vyote
2. Alaf bei juu, wako nafasi ya pili baada ya Sunshare
3. Dragon hawa ndo niliona nafuu
Uchaguzi ni wako namba hizi hapa
0716 600 800 Alaf mtu wa marketing
065 229 1297 Sunshare mtu wa marketing
065 229 1297 Dragon mtu wa marketing
Hizo ni namba za Dsm
Chagua mwenyewe
Hapa ni fully upigajiKwa hyo dragon na sunshare wanashare mtu wa marketing [emoji1] [emoji1787]?
Mi kilichonishinda ni nyodo zao, iyo siku nimefika kiwandani kidada kipo kwenye gari kinaniangalia tu, kimekaa kama dk 5 ndo kinakuja,Hizo bei za Alaf zilivyokuwa juu,wacha tu nipauwe na hizi za kampuni nyingine,ntakuwa napiga rangi kila zikipauka...
Naweza kuamini unachokisemapale alaf kuna ujinga mwingi lakini ndiyo bati bora ukilinganisha na hao wengine angalau ando nao wanajitahidi sana kwa ubora.
Na Mimi naomba kujua bei ya bati chapa alaf gauge 30.Kabla sijapigwa na kitu kizito kichwani.Asanteni
Kiwandani 39900 kwa agent 36500 per pc
Hizi ni bei za resincotIyo attachment ya kwanza ni bati 65 za gauge 30
Iyo ya pili ni kofia 15
NB: nilinunulia kiwandani
Kumbe bei ya kawaida sana mimi nilizani bei ni kubwa sana. AsanteIyo attachment ya kwanza ni bati 65 za gauge 30
Iyo ya pili ni kofia 15
NB: nilinunulia kiwandani