Naomba ushauri na Majibu kuhusu hii personality yangu isiyopendwa na wengi

Ok sa kutoka moyoni sema hii kitu.

Umekuja kuomba msaada kwakua hiyo personality inawakera watu? Au kuna kingine?
 
Hicho Ndio kilichonileta huku mkuu
 
Sijui kama unajua lakini hiyo inamaanisha unastruggle ili u-belong na your fellow peers.
It may imply that you have problems fitting in na pia inamaanisha haujikubali.
 
Nimekuelew vyema mkuu nadhan kinachofuata ni kujikubali [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…