Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Ok sa kutoka moyoni sema hii kitu.Hilo la kukoswa ushirikiano kwa ndugu nahisi limepelekea lakini kuhusu wanafunzi wenzangu labda niweke clear hili mwanzoni nilikuwa nakuwa mkimya sana home shuleni kawaida ila baadae nikaanza kuwa hivyo hadi shule.Sina hasira nao saana hao family member kiasi cha kuwaacha wagongwe na nyoka japo siwezi kusema uongo kiukweli siwakubali kitu kingine kuhusu mimi mtu ukionyesha kunichukia au kutonikubali hata mimi nakuwa sina habari na wewe.
Umekuja kuomba msaada kwakua hiyo personality inawakera watu? Au kuna kingine?