Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeHivi kwanini ujenge guest house?
Kwanini mtu usijenge vyumba 3 vinatosha, mgeni akija atalala anapojua yeye
Kwa uzoefu wangu milion 7 labda ujenge chumba kimoja tu...nyumba ya vyumba vi4 kama ipo complicated sio chini ya milion 90 au ujenge mgongo wa tembo..kujenga sio kazi rahisiwakuu habar zenu
nina kiwanja cha 20*20 hapa hapa dar maeneo ya tegeta madare plan yangu ni kujeng Nyumba kubwa ya vyumba vinne sebule daining jiko store. lakini kwa sasa nipo na 7,000,000 nnataka nipige msingi wa nyumba nzima kisha ni pandishe viwili na kueka bati niweze kuamia kisha nijenge taratibu je kwa hiyo milion saba naweza kutoboa mba kuamia kwa maana ya msingi wote na kupandisha vyumba viwili pakiwemo na madilisha ?
Ahsanteni sana naitaji msaada wenu nyumba ninayo tarajia kujenga ni HIDENROOF
Kwa nyumba ya vyumba vi4 milion7 hata msingi haitoshiHapo labda upige msingi, uinue chumba kimoja upaue kabisa, kisha kitakachobaki ndio uinue kozo nyingine mpaka utakapoishia
Kaka tunatofautiana.. Kwa hizo bei zako sijui uchumi wako na huko ulipo ila kuna vitu unaweza kufanya vikapunguza bajeti.Kwa nyumba ya vyumba vi4 milion7 hata msingi haitoshi
Piga hesabu ya tofali za msingi
Malipo ya fundi
Maji
Cement
Nondo
Mfano
Fundi kwa msingi ni TZS 1.5 m
Tofali 2500* TZS 1,100
Nondo tuchukue *54 mara 26,000
Sehemu kama ina bonde kifusi chake
Mchanga trip TZS 70,000
Kokoto trip 2@ kwa 350,000
Kukodi mbao 150,000 TSZ
Cement mifuko kama 50 @ 15,500
Ukipata jibu..mimi nimejenga mwaka jana lakini gharama nilizokutana nazo kwa nyumba ya room 4 sina hamu nilipo
Kwa mbagala inatosha kabisa, ila kwa hayo maeneo uliyoyataja nina mashaka kidogoWakuu habari zenu
Nina kiwanja cha 20*20 hapa hapa Dar maeneo ya Tegeta Madare plan yangu ni kujenga nyumba kubwa ya vyumba vinne sebule daining jiko store. Lakini kwa sasa nipo na 7,000,000 ninataka nipige msingi wa nyumba nzima kisha ni pandishe viwili na kueka bati niweze kuamia kisha nijenge taratibu je kwa hiyo milioni saba naweza kutoboa mba kuamia kwa maana ya msingi wote na kupandisha vyumba viwili pakiwemo na madilisha ?
Ahsanteni sana naitaji msaada wenu nyumba ninayo tarajia kujenga ni HIDENROOF