Naomba ushauri namna ya kuvuta Maji

Naomba ushauri namna ya kuvuta Maji

Tempest

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
245
Reaction score
430
Habarini wadau

Naomba kuuliza kwenye ishu ya kuvuta maji je unaweza kumalizia mwenyew baada ya mita 50 za dawasa Kwa kutumia fundi wako, maaan nnapoweka ni kama 200M na gharama zao Kwa huo umbali ni kubwa sana, nahofia nisije kufanya hivyo wakaniletea noma.

Gharama za maji ni kuubwa mno na longolongo kibao kuliko umeme, umeme siku hizi ni fasta sana wiki tu na gharama nafuu inaweza isizidi 400,000.

Pia na ile mipira ya kuvutia maji anayejua gharama zake Kwa meter msaada Tafadhal (midogo Ile inayoingiza maji ndani ya nyumba).
 
Miundombinu ya Dawasa wanafanya wenyewe na vifaa unanuwa kwao.

Sijui ulipo, sehemu nyingine unakopeshwa vifaa ulipe ndani ya miezi mitatu au sita kama sikosei.
 
Back
Top Bottom