Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Poor Brain again🤣🤣🤣

Mkitoka out kunywa vinywaji unavyopenda, yeye mwache na pombe zake..kama ni wa kubadilika atabadilika, japo tabia ni ngozi na mwanamke kuwa mlevi ni majanga.
 
Poor Brain again🤣🤣🤣

Mkitoka out kunywa vinywaji unavyopenda, yeye mwache na pombe zake..kama ni wa kubadilika atabadilika, japo tabia ni ngozi na mwanamke kuwa mlevi ni majanga.
Ahahahaha why poor again...

Mkuu kuna siku walinifosi ujue mpaka nikaona aibu...
 
Duh!!,ndo hapo umekosea pia,,swali jingine je ulipenda nini hasa kwake,kipi kilikuvuta?
Kdddkeeee oa mkuu kwanza awali ya yote antiel dorry ni mzr jamni .

Sio sura tuu an ana Shepu hilo

Kingine ana macho flan hvi..
Ana trakooo
Ana rangi flan hvi
Anajua kucheza
 
Ahahahaha why poor again...

Mkuu kuna siku walinifosi ujue mpaka nikaona aibu...
Simamia msimamo wako, pombe ni nzuri ikitumiwa kwa kiasi. Nimeona watu wakitumbukia kwenye unywaji uliopitiliza na hali zao ni mbaya.

Hata hivyo mwanamke mlevi hafai kuwa mke, labda wa kuenjoy nae tu!
 
Simamia msimamo wako, pombe ni nzuri ikitumiwa kwa kiasi. Nimeona watu wakitumbukia kwenye unywaji uliopitiliza na hali zao ni mbaya.

Hata hivyo mwanamke mlevi hafai kuwa mke, labda wa kuenjoy nae tu!
Huyu ni mishangz ila naona kwa hii level yetu tunaweza fanya jambo mkuu....

Tajitahidi niwe mbali na mambo ya ulevi mkuu
 
Me napenda mwanamke mlevi akilewa akizima wewe ni kujichomekea 2.me wa kwangi analewa usiku namcjhomeka weee mpaka basi asbh akiamka anasema eti usiku sijamnyandua nimnyandue basi nami nafurahi naingia mzigoni tena nanyanduaa wee mpaka k inapwita
 
Wakuu salam

Sasa hii issue imekua very seriously..
Nachoka sana. Najaribu kumwelekeza huyu mwenzangu kuhusu pombe but still ignore me.

Ipo hivi tangu nianze mahusiano na huyu antiel D amekua mtu wa kutaka kuni fanya na mimi niwe addicted na pombe kitu ambacho mi dini yangu inakataza...

Achana na dini hata mimi kutumia hvo vitu nilishasema hapana..
Ila tangu niwe nae nimeanza kutumia japo sio sana.

Sasa kila napomshauri aachane na hivi amekua mkali kwangu na kuniambia sijui lolote kuhusu yeye..

Nimejaribu kumkwepa nisiwe natoka nae kunywa mabia sijui mapombe ila inakua ngumu sana maana anaweza kukutafutia kesi tuu ili mnuniane.

Sasa ndugu zangu hii issue na solve vipi kijana wenu..
Issue ni mimi niingie rasmi katika unywaji wa pombe ili niende nae Sawa..

Nb. Usitoe ushauri wa kumuacha still nampenda
Kwani wewe ni me au ke
 
Me napenda mwanamke mlevi akilewa akizima wewe ni kujichomekea 2.me wa kwangi analewa usiku namcjhomeka weee mpaka basi asbh akiamka anasema eti usiku sijamnyandua nimnyandue basi nami nafurahi naingia mzigoni tena nanyanduaa wee mpaka k inapwita
Wee jamaa una matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom