Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Naomba ushauri: Namwambia aache pombe hataki. Nampenda sana siwezi kumuacha, nifanyeje?

Nimewai muacha huyu mnywaji ,nikatafuta church girl,ila marejesho na vikoba ni daily,huyu mnywaji hana Cha marejesho Wala vikoba anapiga mishe zake tu.
Tatizo walevu wqnakuaga chakula ya wenzao daaah
 
Mtu kama Malaya ni Malaya tu hata awe mchungaji...ni hobby tu.
Sema blood ujue nini hii ishu imekua complex...
Hv unamuachaje mtu ambaye tayari ka invest katika biashara yako mpo kama share hv
 
Sema blood ujue nini hii ishu imekua complex...
Hv unamuachaje mtu ambaye tayari ka invest katika biashara yako mpo kama share hv
Upo sahihi blood, ni ngumu...hii hata ndoa au mahusiano ambayo wanamiliki vitu vingi pamoja,including watoto,unakuta mahusiano yanawaka moto lakini wanadai wanavumiliana mwisho wa siku ni kufa pressure tu.Amani kitu Cha msingi Sana kuliko mali.
 
Yaaah sasa hapa nawaza nafanyaje mkuu...
Wee imagine anaweza kuja ofisin akaleta varangati na hakuna wa kumfanya kitu ni ana mwili mkuu we acha tuu
 
Alafu mi na wewe nani mfungwa..
Wee assume unavovyo ishi kwa kujificha jificha hvo assume tuu
Naishi kwa kujificha? Wapiii?
Mtaani mbna kila time naswampaa kupiga story na wadau etc.

Wee mfungwaa huru unanyweshwa pombe na huku hutakii.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaaah sasa hapa nawaza nafanyaje mkuu...
Wee imagine anaweza kuja ofisin akaleta varangati na hakuna wa kumfanya kitu ni ana mwili mkuu we acha tuu
Mkuu Mimi kabda ya huyu, nilikua na ndoa,watoto wawili ,nyumba tuliyokuwapo na n.k ...mambo yalivokua sio...Kuna siku nilichukua vyeti tu vyangu na nguo chache nikaondoka... watoto wakiwa katika umri wa kukaa na mama,thus y niliacha Kila kitu na hata gari ili watoto wasi feel vibaya...na nimevipata Tena hivo vitu.
 
Nashauri uendelee kuteswa hadi akili ikae sawa 😹
Hata wewe hapo mkuu kuna sehemu unateswa.

Lakini kawehu ka kupenda penda kakishapamba kichwani, utakuta mtu anajiblock kuwaza nje ya box, utasikia anajiuliza bila kujijibu... 'Sasa mimi nitafanyaje....

Hapo mtu hachomoki ashanasa!

Tusidanganyane kusema kuna shujaa ama bingwa wa mapenzi, hayupo.

Anayesema kuwa yeye ni bingwa, kama Mungu hatawahi kumuua, ipo siku atakula matapishi yake.
 
Back
Top Bottom