Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa ufugaji wa nyuki kisasa.
Naomba kujua kama kuna kodi yeyote inalipiwa kwa kuingiza hiyo mizinga Tanzania.
Na pia, najuaje ubora wa hiyo mizinga kwa kuangalia online? Kuna utaalamu wowote unatumika?
Shukrani.