Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
- Thread starter
- #21
Mzinga unaendana na saiz ya nyuki. Unaweza leta mizinga nyuki wakashindwa kuingia na ukapata hasara. Kuna jamaa kaagiza mizinga kama 100 kaiweka misungwi na hakuna nyuki hata mmoja kaingia kwa sababu ya size.
Hapo pia umenisaidia.
Shukrani sana.

