*TANGAZO LA MAFUNZO*
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
Shirika la *PRA - Tanzania* linawaletea Watanzania wote Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki Kibiashara kwa Vitendo.
Mafunzo haya yatafanyikia *Usa River (Leganga), Arusha, Kwanzia Tar.11/11/2018 - 23/11/2018.*
*Gharama ni 100,000/=*
Utapewa;
*1. Chakula cha mchana kila siku.*
*2. Vitabu vya Mafunzo.*
*3. Usafiri kwenda Shambani.*
*4. Cheti mwisho wa mafunzo.*
BAADHI YA MADA NI;
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
1. Kutengeneza mizinga ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo.
2. Kutengeneza kitenga malkia katika mizinga ya kisasa.
3. Kuzalisha makundi ya nyuki.
4. Kugawa au kuonganisha makundi.
5. Kuainisha na Kusimamia Mashamba ya Nyuki
6. Kuhamisha Makundi ya nyuki.
7. Kuongeza uzalishaji wa mazao ya nyuki.
8. Mazao saba ya nyuki (Asali, Nta, Chavua, Gundi, Sumu ya nyuki, Maziwa ya nyuki, supu ya nyuki)
9. Kuvuna,Kuchakata, kupaki na Masoko ya Mazao ya Nyuki.
10. Kuandika miradi ya ufugaji wa nyuki na Upatikanaji wa Ruzuku/Ufadhili.
12. Ufugaji nyuki kwaajili ya utalii (Api-tourism)
MADA ZINGINE NI;
[emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518][emoji518]
*Kutengeneza Mafuta ya kujipaka kwa kutumia nta, Kutengeneza Viholda na Mishumaa ya nta, Kufanya masaji kwa kutumia asali, Jinsi ya kuchakata ka kupaki asali, chavua, maziwa ya nyuki kwaajili ya biashara, kutengeneza Tiba za Magonjwa mbalimbali kama vile; Allergies, Kikohozi, Athma, Nguvu za Kiume, Kiharusi, Ukosefu wa Choo/Choo kigumu, tumbo, uzee, n.k...*
Jisajili kwa Mawasiliano yafuatayo;
Simu: 0753970565
Barua pepe:
pratanzania@gmail.com
Tovuti:
www.pratanzania.org
Facebook:
www.facebook.com/PRATanzania
Instagram:
www.instagram.com/pra_tanzania
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
Usipitwe na Fursa Hii;
Mwisho wa Usajili ni Tarehe *31/10/2018*, Wahi Nafasi mi Chache.