Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizinga mizuri kwa standard ya ukweli ipo TAWIRI Arusha. Achana na Mchina
Ingekuwa vizuri huo uzalendo ungeanzia kwa wauzaji kwanza sio kwa wanunuaji pekee. Mzinga china amekwambia ni 50,000 wakati tanzania ni 220,000. Yani bei ya mzinga mmoja tz unapata minne china... Kweli... Tuwe wazalendo angalau kwa haya tunayoyaweza.
vipi mkuu ulifanikiwa??? naomba utupatie feedback mkuuKulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa ufugaji wa nyuki kisasa.
Naomba kujua kama kuna kodi yeyote inalipiwa kwa kuingiza hiyo mizinga Tanzania.
Na pia, najuaje ubora wa hiyo mizinga kwa kuangalia online? Kuna utaalamu wowote unatumika?
Shukrani.
Walikuuzia shi ngapi mkuu, na vipi perfomance yake na changamoto ya soko la asali??Sikununua tena China. Nlinunua hapahapa Tanzania. Kuna Wakenya waliniuzia mizinga mizuri..
Ntaenda China nikiamua kufuga large scale.
Mkuu bavaria mzinga ulinunua s.ngapi kwa hao wakenya?Sikununua tena China. Nlinunua hapahapa Tanzania. Kuna Wakenya waliniuzia mizinga mizuri..
Ntaenda China nikiamua kufuga large scale.
Ok,naomba nikucheki inbox mkuu tuongee vizuri kaka215,000 mzinga mmoja.
Mkuu we kweli unajua..wengine wanaleta mihemko ya kibiashara tu.Mi mihambo,ebu elewa anacho hitaji mleta Uzi.labda nikufafanulie kuna mizinga ya kisasa ya aina kuu mbili ambayo ni top bar na commercial bee hive.hii aina ya commercial ndo inayotakiwa tuwe nayo ili tuzalishe kifaida.
Huyu kahitaji mizinga aina ya langstroths hii ni commercial hive nyuki wakiingia kama ni msimu WA maua baadavya siku, tisini mzinga umejaa na utakuwa unavuna kila baada ya wiki tatu.
Sasa wewe mihambo picha ya mizinga yako ni aina ya top bar,hii sana utavuna Mara moja kwa mwaka.hiyo bei ya laki moja unayouza ni kubwa ukilinganisha na mzinga wenyewe.
Langstroths bee hive ni aina ya mzinga bora WA kisasa ambao kwa hapa bongo bei ni kubwa bora uagize China itafika hapa kwa gharama nafuu kuliko utengeneze hapa.
Mfano langstroth hive two layer kwa suchuo cha sua ni 180000 na Tawiri ni zaidi ya hapo.wakati China mzinga huo huo kwa China unaununua 50000 za Tanzania tena umetengenezwa kwa ubora zaidi.
Kuhusu saizi ya nyuki ni tofauti na wahuku kwetu.kuna jamaa yangu aliagiza tukichofanya tuliwapa vipimo vya kihunzi cha nyuki wetu ambacho ni 32mm na bee spance ni 8mmm.wakatutengenezea kwa vipimo hivyo.
Mi ni mdau WA ufugaji nyuki tuache lobgolongo nakushauri kabisa agiza mizinga China wape vipimo vya nyuki WA kwetu huku watakutengenezea.utanunua utasafirisha ,utaitoa bandarini mpaka shambani bado utaokoa pesa nyingi kuliko kununua bongo.
Nakushauri top bar achana Nayo nunua .commercial hive
UkiSkia mizinga we unajua ya mbai tu.Ninyi ndio mnasababisha thamani ya shilingi yetu kushuka. Kwani hapo Tanzania hakuna wachonga mizinga ya nyuki? Hakuna misitu? Ama unatafuta fahari tu.
Hachana na mambo ya China ingia Veta au Sido waambie wakutengenezee kama unavyotaka iwe utakuwa umepunguza Risk ya pesa yako kupoteaKulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa ufugaji wa nyuki kisasa.
Naomba kujua kama kuna kodi yeyote inalipiwa kwa kuingiza hiyo mizinga Tanzania.
Na pia, najuaje ubora wa hiyo mizinga kwa kuangalia online? Kuna utaalamu wowote unatumika?
Shukrani.
Unaweza kuniuliza hapahapa. Hakuna tatizo.
Mkuu Bavaria, naomba unisaidie mawasiliano ya hao wakenya. Nahitaji kupata mizinga aina ya langstrong Kwa ajili ya ufugaji nyuki kwenye shamba langu jipya.
Mkuu Bavaria nahitaji mzinga aina ya commercial hive, naomba unisaidie mawasiliano ya hao watu waliokuuzia. Naomba unitumie pm kama hutojali