Sijaona option ya paypal huko Alibaba
Kama hujaona hiyo option ya PayPal kwa huyo unayetaka kununua kwake, basi mtilie mashaka! Maana wapo wengi tu wanaotoa option ya Paypal
Sijaona option ya paypal huko Alibaba
Si kuwa akiwa ana PayPal Hatoiba....La msingi anunue Aliexpress ambako unaweza kumjua TOP RATED SELLER na kuangalia Feedback za nyuma za hiyo items kwa walionunua kabla yako
na unanunua na CREDIT CARD tu bila WASIWASI wowote wala huibiwi.....nimenunua huko Bunch of items LA msingi ujue RULES za kuwa safe
Kulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa ufugaji wa nyuki kisasa.
Naomba kujua kama kuna kodi yeyote inalipiwa kwa kuingiza hiyo mizinga Tanzania.
Na pia, najuaje ubora wa hiyo mizinga kwa kuangalia online? Kuna utaalamu wowote unatumika?
Shukrani.
-Mshikaji anaongelea Alibaba na siyo Aliexpress
-Nimemshauri atumie PayPal kwa usalama wa fedha zake! Naongea haya kwa uzoefu, maana hata mimi nimeshanunua mara nyingi sana kwa njia tofauti na PayPal na kuna mara nyingi nimepata items zangu, lakini pia nishalizwa! Na siyo mimi tu, nenda ubalozi wa China hapa nchini, wana kitengo cha biashara mbali kidogo na ubalozi wao....hapo ndipo utaonana na watanzania kibao wanaokuja kwa malalamiko ya kuibiwa fedha zao na baadhi ya wezi wanaojitangaza huko alibaba!
-Kitengo chao cha biashara, kinashauri pia, kabla ya kufanya malipo ni vyema uchukue profoma au invoice yenyewe, uwapelekee ili wa verify kuwa kama supplier wako ni genuine ama la!
Ninyi ndio mnasababisha thamani ya shilingi yetu kushuka. Kwani hapo Tanzania hakuna wachonga mizinga ya nyuki? Hakuna misitu? Ama unatafuta fahari tu.
-Mshikaji anaongelea Alibaba na siyo Aliexpress
-Nimemshauri atumie PayPal kwa usalama wa fedha zake! Naongea haya kwa uzoefu, maana hata mimi nimeshanunua mara nyingi sana kwa njia tofauti na PayPal na kuna mara nyingi nimepata items zangu, lakini pia nishalizwa! Na siyo mimi tu, nenda ubalozi wa China hapa nchini, wana kitengo cha biashara mbali kidogo na ubalozi wao....hapo ndipo utaonana na watanzania kibao wanaokuja kwa malalamiko ya kuibiwa fedha zao na baadhi ya wezi wanaojitangaza huko alibaba!
-Kitengo chao cha biashara, kinashauri pia, kabla ya kufanya malipo ni vyema uchukue profoma au invoice yenyewe, uwapelekee ili wa verify kuwa kama supplier wako ni genuine ama la!
Acha kubweka bila substance.
Najua ninachoongea.
Kama huwezi kusaidia kaa kimya.
Kulingana na bei ya mizinga ya kisasa kuwa ya gharama ya chini hapa Tanzania, nimeona bora ni-import toka China moja kwa moja.
Kupitia Alibaba nimeona mizinga ya "Langstroths" ambayo ni bora kwa ufugaji wa nyuki kisasa.
Naomba kujua kama kuna kodi yeyote inalipiwa kwa kuingiza hiyo mizinga Tanzania.
Na pia, najuaje ubora wa hiyo mizinga kwa kuangalia online? Kuna utaalamu wowote unatumika?
Shukrani.
Ngoja niangalie mkuu. Nashukuru kwa msaada.
Mkuu nyuki wa Tanzania ukiwaletea mizinga ya China hawataingia! Hivyo ili usijepata hasara wewe sema wataka mizinga mingapi,size gani and your offer then nakupatia mizinga bora inayoendana na mazingira yetu.