Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla ikaja kuzima katika mazingira yasio eleweka nkapeleka kwa mafundi wakashindwa, ikabidi niuze kama spare tuu
Nimekua muoga kidogo kurudi tena kwenye hii brand japo naikubali sana,
Wenye uzoefu, Tatizo la Google pixel kujizima na kutowaka ni kwa simu used tuu au hata hizi mpya?
Issue ingine naskia hizi simu siku hizi zipo zinazokuja na vioo original na zingine vioo fake, Hii imakaaje?