Nimefanya Kazi ya uber kwa muda kidogo Nikiwa napewa Day waka na Watu au Marafiki zangu. Sasa nimefanikiwa Kupata kiasi cha pesa nahitaji Gar za mkataba au mikopo Nafuu .
Pesa niliyonayo ni Million 3.
Sehemu nyingi nilizoenda wanataka Hati ya Nyumba. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaejua juu ya hili.
Asante sana Waungwana