mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Shughuli zangu nyingi ni kuitumia kwa ajili ya: Masomo kupitia internet, taarifa za habari za mashirika mbali mbali, kutunzia taarifa za kibiashara, na kuitumia kwenye mitandao ya kijamii.Shughuli zako ni zipi kwa hiyo laptop mkuu maana watu tumetumia avast free downloaded miaka na miaka hatujadukuliwa cha msingi tunaiupdate mara kwa mara
Download avast mkuu bure usijitwishe mzigoShughuli zangu nyingi ni kuitumia kwa ajili ya: Masomo kupitia internet, taarifa za habari za mashirika mbali mbali, kutunzia taarifa za kibiashara, na kuitumia kwenye mitandao ya kijamii.
Kuna mtu aliniambia hizi za bure haziko powerful na ulinzi wake ni mdogo japo sina uhakika na hilo.Download avast mkuu bure usijitwishe mzigo