Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

Smart Contract

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,158
Reaction score
2,847
Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.

Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
 
Have a change of scene and everything will be changed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuacha pombe, usiache moja kwa moja ,punguza kiasi cha unywaji, kidogo kidogo, kama unakunywa bia usipende kunywa local bia hizo ni ngumu mno kuisha kwenye damu kwa mda mfupi, jifunze kunywa pombe za ghali kwa kiasi kidgo ,weka ratiba ya kufanya mazoezi , kuwa bize ,punguza marafiki walevi ikibdi kaa nao mbali , wine [emoji485] kidgo ni nzuri sana kwa afya yko[emoji120]
 
Hakuna dawa,kuna watu nimeshaona wanatumia dawa na wanaonekana kama wameacha lakin baada ya muda wanarudi kuwa walevi zaidi

Cha kukushauri endelea kutafuta hela zaidi kama haikuzuii kufanya kazi zako na jiwekee bili ya bia tatu kila siku
Duh sio kwamba ndo ntaharibu zaid
 
Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.
Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
Mbona unapotaka kwenda kunywa huwa huombi ushauri, shida mshahara ukiingia tu mnaona wote wanawapiga vizinga

Kamuone mwamposa
 
Ukitaka kuacha pombe, usiache moja kwa moja ,punguza kiasi cha unywaji , kidogo kidogo , kama unakunywa bia usipende kunywa local bia hizo ni ngumu...
Mkuu nahisi zishakaa kwenye damu labda nifosi mazoezi
 
Back
Top Bottom