Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

Hivi pombe zina wapeleka vipi..? Jipangie mimi nitakua nakunywa pombe weekend tu tena ijumaa na jumamos, tena jipangie kiasi maalum utakachotumia... Epuka pombe za marafiki, pombe za offer, pombe za kuitwa sehem, Kwasabab hizi pombe ndio zinafanya watu wawe watumwa ukipenda ofa ukipenda za marafiki basi lazima na wew uwe unatoa pesa nyingi kuwalidhisha wenzako... Toka kanywe pombe pekeako ikitokea umekutana na watu unaowajua usishoboke...
 
Mkuu nilianza pekeangu tena kwa kujificha lakini matokeo yake sasa
 
Si rahisi kutibu addiction bila kutafita addiction nyingine yenye unafuu, unaweza uka replace uraibu wa pombe kwa kujitengenezea uraibu mwingine kama vile mazoezi, kusoma vitabu etc
Kweli kiongozi vitabu itabidi nianze kusoma
 
Weka tu ratiba kwamba pombe uwe unakunywa weekend tu, sidhani kama hii nayo utashindwa maana huwezi kuacha kirahisi,
Uwe unakunywa weekend na holidays basi, naamini una kazi unakua bize weekdays
 
Kwa nlipofikia nataka niache tu shida sio pombe shida ni pombe kali
 
Ukitaka kuacha au kupunguza matumizi, jitahidi uwe unanywea nyumbani; kinachokufanya utumie hela nyingi ni ile 'vibe' pamoja na warembo unaokutana nao maeneo ya unywaji (mazingira shawishi).
 
Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.
Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
Kaka ukiamua unaweza ila wana psychology wanasema ukiamua kuacha kitu na ukakirudia basi mwendelezo wake ni mkali kuliko ule wa mwanzo,pia kama umeanza tungi ukubwani itakusumbua ,Mimi ni mwnyaji nikiamua ila pia sio lazma ninywe ,so msimamo na kujiamini na kuamua vinanisaidia ....kingine tabia kumbuka unywaji ni tabia ambapo inajengwa na maamuzi,mazingira na MALEZI baadae inakuathiri ,Cha kukusaidia chkulia pombe ni kitu Cha kawaida ,Kaa na wanywaji na jizuie usinywe,kingine acha ulafi angalia baada yakulewa ni mambo yapi yanakuwa kwenye akili yako je ni wanawake?,au mikakati ya maisha,au ni stress......kama lipo linaleendana na Hilo una matatizo zaidi ya ilo Moja amua kupunguza na kukwepa marafiki wa aina yako mwisho kunywa pombe za gharama ata ukiishiwa Baki ulivyo ukikimbilia kwenye gharama ndogo unazidi kujimaliza
 
Pombe nimeanza nikiwa sekondari ila saivi naona zinanipeleka puta
 
Back
Top Bottom