Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Have a change of scene and everything will be changedNilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.
Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
Nimejaribu kukwepa kampani ila nimejikuta nakaa bar mpaka usiku mnene pekee angu,
Stress zipo always ila inawezekana kuzimaintain, shida ni huu unywaji unamka asubuhi hata ujala unataka unywetafuta chanzo kinachokufanya kuwa mlevi kwanza
Duh sio kwamba ndo ntaharibu zaidHakuna dawa,kuna watu nimeshaona wanatumia dawa na wanaonekana kama wameacha lakin baada ya muda wanarudi kuwa walevi zaidi
Cha kukushauri endelea kutafuta hela zaidi kama haikuzuii kufanya kazi zako na jiwekee bili ya bia tatu kila siku
Mbona unapotaka kwenda kunywa huwa huombi ushauri, shida mshahara ukiingia tu mnaona wote wanawapiga vizingaNilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai.
Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
sasa kataa bombe za stress,toka umeanza kunywa hizo pombe umesolve hizo stress hata moja...Stress zipo always ila inawezekana kuzimaintain, shida ni huu unywaji unamka asubuhi hata ujala unataka unywe
Ni kipindi kitapita! Kuna situation unapitia je uko kwenye mahusiano?Nimejaribu kukwepa kampani ila nimejikuta nakaa bar mpaka usiku mnene pekee angu,
Mkuu nahisi zishakaa kwenye damu labda nifosi mazoeziUkitaka kuacha pombe, usiache moja kwa moja ,punguza kiasi cha unywaji , kidogo kidogo , kama unakunywa bia usipende kunywa local bia hizo ni ngumu...
Tulitibuana akaenda kwao na mwananguNi kipindi kitapita! Kuna situation unapitia je uko kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tengeneza chuki na pombe, anza tu kuichukiaM
mkuu nahisi zishakaa kwenye damu labda nifosi mazoezi
Tafuta pesa nyingi kiasi hata ukinywa pombe haziishi. Then endelea kunywa kadiri uwezavyo.
Ukiwa mlevi kupitiliza hata kazi hufanyi.. na wengn hufukuzwa kaziTafuta pesa nyingi kiasi hata ukinywa pombe haziishi. Then endelea kunywa kadiri uwezavyo.
Akifukuzwa ni vizuri atapata muda zaidi wa kunywa pombeUkiwa mlevi kupitiliza hata kazi hufanyi.. na wengn hufukuzwa kazi
MWAMPOSA uongo, atanidai sadaka afu ntaimalzia grocery kabla haijafika madhabahuniMbona unapotaka kwenda kunywa huwa huombi ushauri, shida mshahara ukiingia tu mnaona wote wanawapiga vizinga
Kamuone mwamposa