Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

Nimewahi kupoteza rafiki kwa issue ya nyagi ,inni figo na sukari kuwa juu niliamua kupiga chini maana asubuhi nilikuwa nachoka baadae doctor alishauri niache kwa kuwa Ina sukari nyingi sana,hapo ulipo utazalisha tatizo jingine Bora ule ngano kama vp
mmh mtu anapiga nyagi dry aisee..
 
Nimewahi kupoteza rafiki kwa issue ya nyagi ,inni figo na sukari kuwa juu niliamua kupiga chini maana asubuhi nilikuwa nachoka baadae doctor alishauri niache kwa kuwa Ina sukari nyingi sana,hapo ulipo utazalisha tatizo jingine Bora ule ngano kama vp
Duh asee huu msala
 
Kama una smati phoni na una uwezo wa kuweka bando la intaneti na una uwezo mzuri kabisa wa kuandika mada kwa usahihi humu jamii forum kuhusu unywaji wako mzuri wa pombe itoshe kusema kaka endelea kunywa tuu unajitambua vibaya mnoo,,shida unajishtukia wakati wala si dhambi,,,hizo pombe hajaumbiwa mbuzi wala Ng'ombe ni kwa ajili yetu sisi wanaadamu tulio hai,,kula vifaa, 🍻 🍻 kaka acha uwoga!!unataka uache pombe ili uwe mmbea sio!!
 
Wapo jamaa wanaitwa hancy max yan kuacha pombe sigar madawa hzo wanakutibu
 
Music,pombe, na zile pisi zinazokuwepo bar kuanzia mabar maid, pisi zinazotega mingo na pisi nyinginezo ambazo kwenye mazingira ya mtaani huwa hazionekani kabisa kuna mwamba alitoa ushahidi hapa
Hivi vyote vinasababisha unapokuwa pale unakuwa upo nje na ndani yani nusu nusu unakuwa imotional zaidi
Kwa mazingira kama hayo kuna kafeeling unakapata ambacho kanaleta uraibu fulani
Kusema unywe bia mbili uondoke siyo kweli mara nyingi ni mpaka umalize hela iliyokuwa nayo
Kwenda bar kunywa pombe ni zaidi ya kunywa hiyo pombe mambo ni mengi
 
Pombe haiachwi achwi hovyo jombaa,you have to be committed,Ila wakati unajitenga nayo unatafuta distractions,Na zipo nyingi tafuta inayokufaa,shabikia mpira,check movie,tafuta manzi,n.k
 
Chai
 
Alaaaa
Kulaa bia
 
Pombe haiachwi achwi hovyo jombaa,you have to be committed,Ila wakati unajitenga nayo unatafuta distractions,Na zipo nyingi tafuta inayokufaa,shabikia mpira,check movie,tafuta manzi,n.k
Tatizo mpira tunaangalizia bar
Unaenda kucheki mpira kwa lengo zuri
Unakuta umerudi umelewa
 
tarizo unaku yw pombe local na cheap
anza kunywa pomb zenye hadh uon kma hujamiliz week bil kunyw
 
Ni kweli sio dhambi shida mavitu makali
 
Kwa nini uliacha na KIPI KILIKUFANYA URUDI? Ukinijibu nakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…