Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

Tafuta chenye kukupa raha zaidi kuliko pombe, hakuna dawa ya kubadili tabia isipokuwa kubadili fikra ulizonazo juu ya tabia yako. kuacha addiction ni kubadili uelekeo ndani ya fikra zilizokomaa kimtazamo
 
Ulikuwa umepumzika ukuwacha
 
Ndugu yangu hata sijui, kama nistress nshkubaliana nazo na hazinisumbui

I'll try my best
Toa majibu ya kuelewaka mkuu usaidike. Kwa nini uliacha kunywa tena? Ulikaa muda gani bila kunywa? Siku unaenda kunywa tena baada ya break fupi ulikuwa kwenye hali gani/ nini kilikusukuma??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…