Naomba ushauri, nimeharibu mahali

Kama bint sio mwanafunzi, anza tu kufanya matunzo na maandalizi ya kutunza mtoto, usiuwe mimba huwezi jua huyo kijacho atakuja kuwa na faida gani kwako na kwa taifa letu, usikute ndiye Rais wa Tz mwaka 2070.
 
Hali ni mbaya huko mkuu. Ameanza vichefu chefu na kushindwa kula.
28 July mimba kuingia, 02 Aug MTU anaanza kusikia kichefuchefu..na hataman kula...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
na mabinti wanapenda kuzaa sas ahivi haa kama hawajaolewa sababu nafasi ni finyu sasa ...na mwingine anajua akiwa na mtoto wako utamkubali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…