Naomba ushauri: Nimepata madhara baada ya kutumia kwa muda mrefu dawa za kuongeza nguvu za kiume 'Erecto'

Ema12

Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
40
Reaction score
23
Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache.

Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku, macho yanauma kila siku na nguvu nilizokuwa nazo mwanzo naona zimepungua kabisa yani uume unasimama lege sana.

Kwa yeyote mwenye ushauri nawezaje kurecover kutoka kuwa chronic user wa erecto ili niweze kuwa imara tena na madhara niliyo yayaja hapo yapotee.

NB. Nina miezi miwili sasa toka niche kutumia.
 
Sio lazima ufanye sex kwa kumfaidisha mwanamke fanya ngono kwa starehe yako usingekuwa na shida iyoo......

Tatizo unataka kumlizisha binadam ambaye anatoa kope zake anaweka za bandia........

Mwanamke akishakujua unasimamaisha kwa kuungaunga utachapiwa mpaka uone duniani sio sehemu salama
 
Yaani wewe ndio umesema.

Mi nalipia nauli, msosi, drinks na lodge hafu tena nianze kujipinda.

Piga trako 3 kisha sebuleni kucheza PS.
 
1:Kaa at least miez sita bila kufanya mapenz

2:Anza mazoez ya kegel.

3:Acha kula vyakula vyenye mafuta,Soda n.k
4:Usinywe chai asubuh kabla ya kufanya mazoez au kufanya kaz ngum.

5:Asubuh piga maji lita moja unapoamka.

6:Achana kabisa na madawa ya hospitali haswa ya kutibu maumivu (pain killer's).

7: Usijaribu kutumia dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume za utaiua mazima
Maana hzo viagra baadhi ya chemicals bado hazijatoka mwilini..ukichanganya na madawa ya asili ndo utakuwa umeharibu kila ki2.
 
Sio lazima ufanye sex kwa kumfaidisha mwanamke fanya ngono kwa starehe yako usingekuwa na shida iyoo......

Tatizo unataka kumlizisha binadam ambaye anatoa kope zake anaweka za bandia........

Mwanamke akishakujua unasimamaisha kwa kuungaunga utachapiwa mpaka uone duniani sio sehemu salama
Nakili nimekoma sitakuja kutumia tena hizo dawa na swala la kumridhisha mwanamke sitaki tenaa maana hawaridhiki niliekua namridhisha na bado aliliwa njee na nimebaki na Majuto na madhara ya hayo madawa aise nimekona now napambania kupona tu.
 
Hapo ushaur wa kitaalam n kwamba unahitajika kula chakula chenye virutubisho vyote then kunywa maji ya kutosha na mazoez ya mwili kwa kipindi cha mwezi mmoja bila kushiriki then tafute demu mzagamue uone itakuwaje
Asante sana
 
Nakili nimekoma sitakuja kutumia tena hizo dawa na swala la kumridhisha mwanamke sitaki tenaa maana hawaridhiki niliekua namridhisha na bado aliliwa njee na nimebaki na Majuto na madhara ya hayo madawa aise nimekona now napambania kupona tu.
Ukipona mkuu we piga tako tatu mwambie ukitaka kuliza lipia Gest,chakula na mkwanja wa kuridhisha kama wew unampa pesa akikulizisha na yeye atoe aridhishwe fucking
 
Wanawake zaman walitupanga sana kumbe tulikuwa tunajimaliza wenyewe mtu katembea na vidume Zaid ya 20 alafu uje mridhishe mkuu........
Mtu unajiona weak kumbe yeye ndio sugu.
 
1:Kaa at least miez sita bila kufanya mapenz

2:Anza mazoez ya kegel.

3:Acha kula vyakula vyenye mafuta,Soda n.k
4:Usinywe chai asubuh kabla ya kufanya mazoez au kufanya kaz ngum.

5:Asubuh piga maji lita moja unapoamka.

6:Achana kabisa na madawa ya hospitali haswa ya kutibu maumivu (pain killer's).

7: Usijaribu kutumia dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume za utaiua mazima
Maana hzo viagra baadhi ya chemicals bado hazijatoka mwilini..ukichanganya na madawa ya asili ndo utakuwa umeharibu kila ki2.
Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako naufanyia kazi
 
Mtu unajiona weak kumbe yeye ndio sugu.
Umeona saiv nakula vizur na piga tiz nikitaka nyapu navuta tako zangu tatu mwisho,akisema ajafika kileleni namwambia kileleni haendi bure hata wazungu wakipanda mlima wa Kilimanjaro walipia y wew uende bure, weka mpunga nijikunje kama huwez vaa sepa
 
10 minutes maximum. Ile sio vita. Ukiejaculate mara 1 sawa na mtu alieenda gym
 
Tatizo ulitaka kushindana na ulipo toka na upate vya kwenda kujisifia kijiweni. Ona sasa wale wenzio uliokua mnashauriana mchezo huo hawapo tena kwenye mateso yako, saiv una taabika na kulia😭 mwenyewe hatakuwahadithia yanayo kusibu unaogopa, mana ni aibu🤔.

Lakini sio kesi mwanangu unajua kwenye life ili tujifunze mda mwingine inahitaji tufanye makosa. Apo nini mwenetu we usikae kinyonge kwa kujutia makosa yako, we fanya kama hii ilikua ni njia ya kujifunza.

Alafu nini mwenetu ukiumbwa mwanaume hakuna kitu utakipata kwa wepesi, hata nguvu za kula mbususu sometimes aziji kirahisi (wewe ulitaka shortcut ). Kwa hiyo nini apa damu yangu cha kufanya inabidi upambane kwa jasho na damu kurudisha uanaume wako.

Kwa kuanza
-ule tizi la kuhakikisha mwili mpaka unauma (apa inabidi ukanze kama mtoto wa kiume ukilegeza wahuni wana ku pi didy)

-Maji ya kutosha

-kula vitunguu swaumu kama punje 5 kabla ya kulala.

NB: UKIUMBWA MWANAUME HAKUNA KITU UTAKIPATA BILA JASHO AMA MDA MWINGINE DAMU. ACHA KUPENDA SHORTCUT.
 
Hahah

Hahaahq daa poa muun
 
Huwezi kushindana na ulipotoka fanya kwa starehe maisha yaendelee hakuna tuzo ya mlombaji bora. Hata akikusema vibaya ila ndo ushaichapa hivo.
 
Back
Top Bottom