Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nyege zako zimekugharimu.Wana JF napenda kutoa ushuhuda nimekua nikitumia dawa za mguvu za kiume kwa mwaka mmoja saivi nina moezi miwili toka niache.
MADHARA niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku, macho yanauma kila siku na nguvu nilizokuwa nazo mwanzo naona zimepungua kabisa yani uume unasimama lege sana.
Kwa yoyote mwenye ushauri nawezaje kurecover kutoka kuwa chronic user wa erecto ili niweze kuwa imara tena na madhara niliyo yayaja hapo yapotee.
NB. Nina miezi miwili sasa toka niche kutumia.
HUwezi kushindana na uchi wa mwanamke ndio unasibika sasa