Naomba ushauri: Nimepata madhara baada ya kutumia kwa muda mrefu dawa za kuongeza nguvu za kiume 'Erecto'

Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache.

Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku, macho yanauma kila siku na nguvu nilizokuwa nazo mwanzo naona zimepungua kabisa yani uume unasimama lege sana.

Kwa yeyote mwenye ushauri nawezaje kurecover kutoka kuwa chronic user wa erecto ili niweze kuwa imara tena na madhara niliyo yayaja hapo yapotee.

NB. Nina miezi miwili sasa toka niche kutumia.
Umeli get, Wana kuli find!
 
Chukua ushauri wangu utakusaidia.
Anza mazoezi kwa bidii sana, acha kufanya mapensi kabisa katika kipindi chote cha kurecover, usile vyakula vya kukaangwa, sukari, wanga na badala yake kula sana vyakua raw foods, protiniz matunda na mbogamboga. Therapy hii ifanye kwa miezi 6 tuletee mrejwsho. Na kama unakunywa pombe acha pia
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom