Yaani wewe ndio umesema.Sio lazima ufanye sex kwa kumfaidisha mwanamke fanya ngono kwa starehe yako usingekuwa na shida iyoo......
Tatizo unataka kumlizisha binadam ambaye anatoa kope zake anaweka za bandia........
Mwanamke akishakujua unasimamaisha kwa kuungaunga utachapiwa mpaka uone duniani sio sehemu salama
Nakili nimekoma sitakuja kutumia tena hizo dawa na swala la kumridhisha mwanamke sitaki tenaa maana hawaridhiki niliekua namridhisha na bado aliliwa njee na nimebaki na Majuto na madhara ya hayo madawa aise nimekona now napambania kupona tu.Sio lazima ufanye sex kwa kumfaidisha mwanamke fanya ngono kwa starehe yako usingekuwa na shida iyoo......
Tatizo unataka kumlizisha binadam ambaye anatoa kope zake anaweka za bandia........
Mwanamke akishakujua unasimamaisha kwa kuungaunga utachapiwa mpaka uone duniani sio sehemu salama
Asante sanaHapo ushaur wa kitaalam n kwamba unahitajika kula chakula chenye virutubisho vyote then kunywa maji ya kutosha na mazoez ya mwili kwa kipindi cha mwezi mmoja bila kushiriki then tafute demu mzagamue uone itakuwaje
Wanawake zaman walitupanga sana kumbe tulikuwa tunajimaliza wenyewe mtu katembea na vidume Zaid ya 20 alafu uje mridhishe mkuu........Yaani wewe ndio umesema.
Mi nalipia nauli, msosi, drinks na lodge hafu tena nianze kujipinda.
Piga kumtrako 3 kisha sebuleni kucheza PS.
Ukipona mkuu we piga tako tatu mwambie ukitaka kuliza lipia Gest,chakula na mkwanja wa kuridhisha kama wew unampa pesa akikulizisha na yeye atoe aridhishwe fuckingNakili nimekoma sitakuja kutumia tena hizo dawa na swala la kumridhisha mwanamke sitaki tenaa maana hawaridhiki niliekua namridhisha na bado aliliwa njee na nimebaki na Majuto na madhara ya hayo madawa aise nimekona now napambania kupona tu.
Mtu unajiona weak kumbe yeye ndio sugu.Wanawake zaman walitupanga sana kumbe tulikuwa tunajimaliza wenyewe mtu katembea na vidume Zaid ya 20 alafu uje mridhishe mkuu........
😂😂Ridhika na tako zako 3. Zinatosha
Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako naufanyia kazi1:Kaa at least miez sita bila kufanya mapenz
2:Anza mazoez ya kegel.
3:Acha kula vyakula vyenye mafuta,Soda n.k
4:Usinywe chai asubuh kabla ya kufanya mazoez au kufanya kaz ngum.
5:Asubuh piga maji lita moja unapoamka.
6:Achana kabisa na madawa ya hospitali haswa ya kutibu maumivu (pain killer's).
7: Usijaribu kutumia dawa za asili za kuongeza nguvu za kiume za utaiua mazima
Maana hzo viagra baadhi ya chemicals bado hazijatoka mwilini..ukichanganya na madawa ya asili ndo utakuwa umeharibu kila ki2.
Umeona saiv nakula vizur na piga tiz nikitaka nyapu navuta tako zangu tatu mwisho,akisema ajafika kileleni namwambia kileleni haendi bure hata wazungu wakipanda mlima wa Kilimanjaro walipia y wew uende bure, weka mpunga nijikunje kama huwez vaa sepaMtu unajiona weak kumbe yeye ndio sugu.
10 minutes maximum. Ile sio vita. Ukiejaculate mara 1 sawa na mtu alieenda gymUmeona saiv nakula vizur na piga tiz nikitaka nyapu navuta tako zangu tatu mwisho,akisema ajafika kileleni namwambia kileleni haendi bure hata wazungu wakipanda mlima wa Kilimanjaro walipia y wew uende bure, weka mpunga nijikunje kama huwez vaa sepa
Labda alikuwa anawagonga wanamlipa, hivyo lazima awe imara. Madhara yake ndio hayo. Pole yakeRidhika na tako zako 3. Zinatosha
Hahaahq daa poa muunTatizo ulitaka kushindana na ulipo toka na upate vya kwenda kujisifia kijiweni. Ona sasa wale wenzio uliokua mnashauriana mchezo huo hawapo tena kwenye mateso yako, saiv una taabika na kulia😭 mwenyewe hatakuwahadithia yanayo kusibu unaogopa, mana ni aibu🤔.
Lakini sio kesi mwanangu unajua kwenye life ili tujifunze mda mwingine inahitaji tufanye makosa. Apo nini mwenetu we usikae kinyonge kwa kujutia makosa yako, we fanya kama hii ilikua ni njia ya kujifunza.
Alafu nini mwenetu ukiumbwa mwanaume hakuna kitu utakipata kwa wepesi, hata nguvu za kula mbususu sometimes aziji kirahisi (wewe ulitaka shortcut ). Kwa hiyo nini apa damu yangu cha kufanya inabidi upambane kwa jasho na damu kurudisha uanaume wako.
Kwa kuanza
-ule tizi la kuhakikisha mwili mpaka unauma (apa inabidi ukanze kama mtoto wa kiume ukilegeza wahuni wana ku pi didy)
-Maji ya kutosha
-kula vitunguu swaumu kama punje 5 kabla ya kulala.
NB: UKIUMBWA MWANAUME HAKUNA KITU UTAKIPATA BILA JASHO AMA MDA MWINGINE DAMU. ACHA KUPENDA SHORTCUT.